Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Acha ni kwambie Dina, hatuwezi kuwa wapole wote au wakali wote.
Kutofautina tabia kwetu huleta mvuto kwa mwenye tabia tofauti, ona Nahuja anatamani upole wa Sky lkn mimi ninatamani ubabe na ukali wake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawewe ulivyo kuna watu wanakuzimia balaa, kutofautiana kwetu huleta mvuto
NAHUJA
 
Back
Top Bottom