Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Siku nyingine napost Nimelewa sio makosa yanguMkiacha kuedit ndio mtawekwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku nyingine napost Nimelewa sio makosa yanguMkiacha kuedit ndio mtawekwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Matokeo yataamua[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ukhuty namba 5 mimi namba 3
Huwa kawaida inaanza 0,1,2,3.......Upo namba ngapi jirani
Lakini sijaipata notification, huenda ni tatizo la kiufundi kwa device yangu hapa plus mtandaoheee! nilikutagi aiseee!!!
Bado sijatangazaMbona sioni
[emoji3][emoji3]Nilijuaa nasifiwa mimi ,sifa hizi zitatuua, Kwa hiyo NAHUJA mi Nashuka namba ngapi vile, au Ndio nipo Kwenye zile sifa za wanaotukana sana
Huwa inaitikiwa.Tangu lini ushasikia hodi ya chooni ikaitikiwa "karibu"?
Mimi namba 9 ukhuty 15Matokeo yataamua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upo kwenye list bana usijaliMimi je?
Jiandae tu kisaikolojia maana matoke hayatabiriki.Mimi namba 9 ukhuty 15
Maana sky, Emiyta, sakayo, mpaka tufikie sie ni hukoo
Acha ni kwambie Dina, hatuwezi kuwa wapole wote au wakali wote.Mimi je?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Huwa kawaida inaanza 0,1,2,3.......
Mie ni 0
Huo ni uchochezi Sasa... Mbona wewe ndo unaanzaMimi namba 9 ukhuty 15
Maana sky, Emiyta, sakayo, mpaka tufikie sie ni hukoo
Ndiwoooo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwani mleta mada amekwambia anamsifia mwenye papuchi nzuri au mwenye tabia njema?Niache kupenda watu wenye papuchi za maana kama Mzigua90 nipende hivyo vidudu mtu vyenu....
Kuimba siasa mchana kutwa hicho ni kilema, acha watu wafurahie huku, siasa zenu chafu zinaleta hasira na chuki..Sisi Lumumba kuanzishiwa thread huwa inakuwa ni ya matusi tu. Hongera kwa aliyeanzishiwa mada.
Nataka nilianzishe dude nione NAHUJA anavyoingilia vita hivi vya nguo kuchanikaShukran mkuu
Huyo jestkila ni killer kweliMbona hujamsifia jest kila wakati anajibu watu ki ustarabu hata wamkosee