Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Mtaja na mtajwa wote sawa tyu.hamjuani na unakili kuwa haumjui kisha unawaza ana tabia njema.acha ujinga we mdada.badili kauli yako iwe "NAPENDA UJINGA"
 
Tunaanza kusoma tabia yako kuanzia kwenye avatar yako.Wewe ni lazima utakuwa huna adabu, na walezi wako walikukosea. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Haya mambo yako ya shule ya msingi ya kujipendekeza hujaacha tu ?
 
Hata mimi nakubaliana na wewe 100%. Anatabia ya kipekee. Hongera sana dada Sky Eclat.
 
Nakupenda sana tabia yako japo sikujui. Pongezi kwa waliokulea hivyo na mazingira ambayo labda ndio yameku shape kuwa hivyo.
Sasa umejuaje tabia yake ilihali humjui?!!
Utashangaa Sky wa kwenye cyberspace na Sky halisi ni watu wawili tofauti. Labda useme unapenda comments zake humu.
 
Mtaja na mtajwa wote sawa tyu.hamjuani na unakili kuwa haumjui kisha unawaza ana tabia njema.acha ujinga we mdada.badili kauli yako iwe "NAPENDA UJINGA"

Tunaanza kusoma tabia yako kuanzia kwenye avatar yako.Wewe ni lazima utakuwa huna adabu, na walezi wako walikukosea. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ngoja ni ji pretend kuwa mvumilivu nisiwatukane ili nisiharibu uzi wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…