Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Hayahahaa subir wakati wako wakupewa credit zako utafika tu ..kila jambo linawakati wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayahahaa subir wakati wako wakupewa credit zako utafika tu ..kila jambo linawakati wake
aiseeeee acha kujifnya kama Mzee wa chatle hahaa ...mimi ni rais wa wanyonge wakati wanyonge hawana makazi baada ya kuvunjiwa nyumba zao ...Wananipiga majungu hasa hornet na mzigua kisa mimi mstaarabu jf yaan akitoka sky nafatia mimi
?????? First tu reply mwanzishiwa Uzi???? Mnajuana nyie!!Shukran mkuu
Mleta mada alimu mention ndio maana kaja mapema?????? First tu reply mwanzishiwa Uzi???? Mnajuana nyie!!
Nahofia nawe utakuwa unaangusha maneno kama cherehani...hahaaa hiyo hiyo dictionary na mimi nipatie mkuu cjawahi kuiona
hahaa acha hizo basii weee mzeeeNahofia nawe utakuwa unaangusha maneno kama cherehani...
Mtaja na mtajwa wote sawa tyu.hamjuani na unakili kuwa haumjui kisha unawaza ana tabia njema.acha ujinga we mdada.badili kauli yako iwe "NAPENDA UJINGA"Mie sijambo kama nyie.
Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu, napenda sana tabia ya huyu dada member mwenzetu hapa JF. Huyu dada hana maringo, hana hasira hata mtu akimjibu utumbo. Hivi kwa nini na mie sina tabia njema kama za huyu dada (nina hasira sana). Mie mtu akinitibua ni jino kwa jino, jicho kwa jicho, mguu kwa mguu, mkono kwa mkono kinachofuatia ni nasomeka BANNED.
Wewe dada una busara sana. Mimi kama mwanamke mwenzio nasema hivi una tabia njema. Na kama una familia basi familia yako utakuwa unawalea katika maadili mazuri.
Huwa nikiona mtu "anamchokoza" huyu dada niko tayari kuingilia huo ugomvi (nina element za ugomvi sipendagi ujinga mimi).
Barikiwa sana Dada Sky Eclat pia nakutakia maandalizi mema ya mfungo (Kwaresma).
Mie sijambo kama nyie.

Nakutafuta rafiki maana kesho Ni siku spesheli[emoji23] [emoji23]hahahahahahahaahahahaha
Haya mambo yako ya shule ya msingi ya kujipendekeza hujaacha tu ?Mie sijambo kama nyie.
Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu, napenda sana tabia ya huyu dada member mwenzetu hapa JF. Huyu dada hana maringo, hana hasira hata mtu akimjibu utumbo. Hivi kwa nini na mie sina tabia njema kama za huyu dada (nina hasira sana). Mie mtu akinitibua ni jino kwa jino, jicho kwa jicho, mguu kwa mguu, mkono kwa mkono kinachofuatia ni nasomeka BANNED.
Wewe dada una busara sana. Mimi kama mwanamke mwenzio nasema hivi una tabia njema. Na kama una familia basi familia yako utakuwa unawalea katika maadili mazuri.
Huwa nikiona mtu "anamchokoza" huyu dada niko tayari kuingilia huo ugomvi (nina element za ugomvi sipendagi ujinga mimi).
Barikiwa sana Dada Sky Eclat pia nakutakia maandalizi mema ya mfungo (Kwaresma).
Hata mimi nakubaliana na wewe 100%. Anatabia ya kipekee. Hongera sana dada Sky Eclat.Mie sijambo kama nyie.
Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu, napenda sana tabia ya huyu dada member mwenzetu hapa JF. Huyu dada hana maringo, hana hasira hata mtu akimjibu utumbo. Hivi kwa nini na mie sina tabia njema kama za huyu dada (nina hasira sana). Mie mtu akinitibua ni jino kwa jino, jicho kwa jicho, mguu kwa mguu, mkono kwa mkono kinachofuatia ni nasomeka BANNED.
Wewe dada una busara sana. Mimi kama mwanamke mwenzio nasema hivi una tabia njema. Na kama una familia basi familia yako utakuwa unawalea katika maadili mazuri.
Huwa nikiona mtu "anamchokoza" huyu dada niko tayari kuingilia huo ugomvi (nina element za ugomvi sipendagi ujinga mimi).
Barikiwa sana Dada Sky Eclat pia nakutakia maandalizi mema ya mfungo (Kwaresma).
Sasa umejuaje tabia yake ilihali humjui?!!Nakupenda sana tabia yako japo sikujui. Pongezi kwa waliokulea hivyo na mazingira ambayo labda ndio yameku shape kuwa hivyo.
Ni kweli tupendane tuu hakuna namnaEmmyta,sky,mzigua 90,espy,dinazarde,heaven sent,Evelyn salt,mumu,numbisa,nahuja ,nalendwa,mbitiyaza,demi,kapeace ,mahondaw,demiss,neybright na wengineo ..nawapenda wote maan tabia hatuwez kufanana!
Mtaja na mtajwa wote sawa tyu.hamjuani na unakili kuwa haumjui kisha unawaza ana tabia njema.acha ujinga we mdada.badili kauli yako iwe "NAPENDA UJINGA"
Ngoja ni ji pretend kuwa mvumilivu nisiwatukane ili nisiharibu uzi wangu![]()
Tunaanza kusoma tabia yako kuanzia kwenye avatar yako.Wewe ni lazima utakuwa huna adabu, na walezi wako walikukosea. 😀😀😀😀😀