[emoji12]Matokeo yataamua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata emmyta yuko poa sana..Mimi nilizani Emyta, any way hata sky naye yupo vizuri.
kweli bora ulivyofanya ni sahihihahahahahah, si unakumbuka mtani hadi nikawa napigwa BAN mfululizo, ila siku hizi nime mu ignore karibu a/c zote. hahahahha
[emoji5] [emoji4] Shukrani sana mkuu..Tuko pamojaJose ukweli nikiona comment yako nafurahi sana. Your are my namba 1 humu JF.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] You are right mtani wanguJoseverest pia ni miongoni mwa wakaka ambao hawana jaziba, kumbuka wanavyomsakama kwenye ile nafasi yake lakini hatoi povu! hahahhaah
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]Ukweli toka moyoni, huyu ndo namba 1 kwa upande wangu.
Ha ha haNAHUJA keshaolewa huyu? Au ndo mke wa Joseverest ?
Tehe teh mtani😎😕😱😳🙄 hahahahahaa
Love you too in ha na kaavatar kako kananikoshaga mwenzioEmmyta,sky,mzigua 90,espy,dinazarde,heaven sent,Evelyn salt,mumu,numbisa,nahuja ,nalendwa,mbitiyaza,demi,kapeace ,mahondaw,demiss,neybright na wengineo ..nawapenda wote maan tabia hatuwez kufanana!
Love you too in ha na kaavatar kako kananikoshaga mwenzioEmmyta,sky,mzigua 90,espy,dinazarde,heaven sent,Evelyn salt,mumu,numbisa,nahuja ,nalendwa,mbitiyaza,demi,kapeace ,mahondaw,demiss,neybright na wengineo ..nawapenda wote maan tabia hatuwez kufanana!
Wa Kwanza kutokea mwishonipo namba ngap na mim NAHUJA nijirekebishe[emoji41][emoji41]
KhaaaaaaaaWa Kwanza kutokea mwisho
[emoji15] [emoji15] [emoji124]Wa Kwanza kutokea mwisho
Mmh nikimtokea lazima akataye tu hiyo sio tabia mbaya.Mie sijambo kama nyie.
Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu, napenda sana tabia ya huyu dada member mwenzetu hapa JF. Huyu dada hana maringo, hana hasira hata mtu akimjibu utumbo. Hivi kwa nini na mie sina tabia njema kama za huyu dada (nina hasira sana). Mie mtu akinitibua ni jino kwa jino, jicho kwa jicho, mguu kwa mguu, mkono kwa mkono kinachofuatia ni nasomeka BANNED.
Wewe dada una busara sana. Mimi kama mwanamke mwenzio nasema hivi una tabia njema. Na kama una familia basi familia yako utakuwa unawalea katika maadili mazuri.
Huwa nikiona mtu "anamchokoza" huyu dada niko tayari kuingilia huo ugomvi (nina element za ugomvi sipendagi ujinga mimi).
Barikiwa sana Dada Sky Eclat pia nakutakia maandalizi mema ya mfungo (Kwaresma).
wa pili kutoka last..kidding!!Nilijuaa nasifiwa mimi ,sifa hizi zitatuua, Kwa hiyo NAHUJA mi Nashuka namba ngapi vile, au Ndio nipo Kwenye zile sifa za wanaotukana sana
mkuu, kunani!?? kwema lkn?Niache kupenda watu wenye papuchi za maana kama Mzigua90 nipende hivyo vidudu mtu vyenu....