Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Ni kweli Sky Eclat ana busara sana ila ana mashushu yake flani amaizing.
emmyta pia, na Heaven sent inaelekea wamelelewa vyema mno. Japo mi nawapenda wanawake wote humu. [emoji7]
 
Joseverest pia ni miongoni mwa wakaka ambao hawana jaziba, kumbuka wanavyomsakama kwenye ile nafasi yake lakini hatoi povu! hahahhaah
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] You are right mtani wangu
 
Emmyta,sky,mzigua 90,espy,dinazarde,heaven sent,Evelyn salt,mumu,numbisa,nahuja ,nalendwa,mbitiyaza,demi,kapeace ,mahondaw,demiss,neybright na wengineo ..nawapenda wote maan tabia hatuwez kufanana!
Love you too in ha na kaavatar kako kananikoshaga mwenzio
 
Mie sijambo kama nyie.

Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu, napenda sana tabia ya huyu dada member mwenzetu hapa JF. Huyu dada hana maringo, hana hasira hata mtu akimjibu utumbo. Hivi kwa nini na mie sina tabia njema kama za huyu dada (nina hasira sana). Mie mtu akinitibua ni jino kwa jino, jicho kwa jicho, mguu kwa mguu, mkono kwa mkono kinachofuatia ni nasomeka BANNED.

Wewe dada una busara sana. Mimi kama mwanamke mwenzio nasema hivi una tabia njema. Na kama una familia basi familia yako utakuwa unawalea katika maadili mazuri.

Huwa nikiona mtu "anamchokoza" huyu dada niko tayari kuingilia huo ugomvi (nina element za ugomvi sipendagi ujinga mimi).

Barikiwa sana Dada Sky Eclat pia nakutakia maandalizi mema ya mfungo (Kwaresma).
Mmh nikimtokea lazima akataye tu hiyo sio tabia mbaya.
 
Back
Top Bottom