Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Hii tabia ya kupenda kuwasifia watu inakuwa kwa kasi sana humu jf na sidhani kama ni nzuri kwa sababu inawanyima wahusika uhuru wa kujiachia watakavyo hasa kwenye kutoa comments. Mtu anakuwa anaogopa kuandika anachojisikia au kukukosoa uliyemsifia kwa sababu ya kuhofia kuonekana tofauti na alivyosifiwa kabla. Kwa mfano utasikia watu eti.. Nahuja au Sky Eclat wanatabia nzuri sana, au Demiss, Shunie, Demi, beef lasagna, Hornet, Emmyta n.k...ni mabinti wastaarabu sana. Tuache huu mchezo wa kusifiasifia watu Mara moja tunawanyima Uhuru.
 
Mmmmh kwanza we ni kesho halaf unataka kutufundisha Tabia mbaya nijitahidi kukwepa Wee Wapii na Hivi Nakupendaga Ndio maana list yangu mi na wewe Lazima tufatane
Hahahaaaaa hivi niliandika Mbiti kweli namuwaza...

Mie ni kesho?
Unamaanisha nipo mbele ya masaa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mi mwenyewe nakupenda natamani nishike tutwako twako tulaini

Nipe ruhusa basi
 
Hamuwezi wote kufanana lakini japo ungeanza kwa kumuiga ktk hili,angalia avatar yake kisha angalia hii yako umenishangaza sana kusema wewe ni mwanamke,siku zote nikikukuta nadhani wewe mwanaume kumbe jike?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…