mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Umo aiseeMimi Sipo mnanionea wivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umo aiseeMimi Sipo mnanionea wivu
Jiwedogo ni mwanaume?
hahahahahhahahahahaha mamamee umeuaNiache kupenda watu wenye papuchi za maana kama Mzigua90 nipende hivyo vidudu mtu vyenu....
Mmmmh kwanza we ni kesho halaf unataka kutufundisha Tabia mbaya nijitahidi kukwepa Wee Wapii na Hivi Nakupendaga Ndio maana list yangu mi na wewe Lazima tufataneMbiti hebu niambie mie nna tabia gani humu jf!
Zile za nje achana nazo
Kupenda vibamia...Haya mie sifa yangu kuu ni ipi?
hahahahahah, si unakumbuka mtani hadi nikawa napigwa BAN mfululizo, ila siku hizi nime mu ignore karibu a/c zote. hahahahhaKwa hiyo mtani wewe ni Mnunua ugomvi?? wacha weee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jose ukweli nikiona comment yako nafurahi sana. Your are my namba 1 humu JF.Kwa hiyo mtani wewe ni Mnunua ugomvi?? wacha weee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaaaa hivi niliandika Mbiti kweli namuwaza...Mmmmh kwanza we ni kesho halaf unataka kutufundisha Tabia mbaya nijitahidi kukwepa Wee Wapii na Hivi Nakupendaga Ndio maana list yangu mi na wewe Lazima tufatane
Na wewe unachangia Ndio maana siwezi fontpageDina akishabwia ugoro huwa anaharibu sana.
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Kumbe hujamjua vuzuri bado. Mwanamama ana maneno kama dikshenare ya ahera
Waha wana sauti yaje mkuu?hahahahaWallahi ( kwa sauti ya kabila la waha)
Joseverest pia ni miongoni mwa wakaka ambao hawana jaziba, kumbuka wanavyomsakama kwenye ile nafasi yake lakini hatoi povu! hahahhaahJose ukweli nikiona comment yako nafurahi sana. Your are my namba 1 humu JF.
AhahahahahaTulia wewe tangu niende Ethiopia na kuishi miaka miwili siupendi tena ukerewe na ujita....umeelewa go!