- Thread starter
- #181
hahahaha, tena umenikumbusha hem niende huko nikachungulie kuna nini huko! hahahahahWananisingizia mi napenda sana jukwaa let lile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha, tena umenikumbusha hem niende huko nikachungulie kuna nini huko! hahahahahWananisingizia mi napenda sana jukwaa let lile
Hahaaaa. Nimefurahi kuwaona tu marafiki zangu wapendwa. [emoji8]mbon unatucheka dad[emoji25]
Ahsante Swahiba[/QUOTE
Tujibuni na sisi tubadilike hasa hornetAmiin dada. Yaani niseme ukweli leo nikiona id yako ilivyo ya muda mrefu huwa natamani na mie yangu ije kuzeeka hivyo hivyo.
Wewe ni mmoja wanaonifanya niitunze id yangu aisee. Yaani sitaki itokee siku niikimbie.
Ahsante sana Mkuu.Hongera. Upo vizuri mrembo. Nakukubali sana.
Nipo naedit hapaLeo Nitakuwa kule mwanzo mwisho, ujitahidi kuwahi tu
Aah! Hapana bhn wewe ni mtembezi sana kwenye huu mji [emoji2]Hahahaaa. Wapi na wapi rafiki. Ujue hii ndio raha ya Kutumia Web na App. Nimechungulia kwenye Web nikaona kuna mtu kanimention ndio sababu nikaja. [emoji85]
unaanzaje kuiikimbia I'd yak kwa mfano dadAmiin dada. Yaani niseme ukweli leo nikiona id yako ilivyo ya muda mrefu huwa natamani na mie yangu ije kuzeeka hivyo hivyo.
Wewe ni mmoja wanaonifanya niitunze id yangu aisee. Yaani sitaki itokee siku niikimbie.
Nakutafuta nikupe busu motomotoEnhe kuna nini hapa?
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Karibu swahiba
demi nakutania tu. Hujawahi kunitukana. Hahahaha.Mmhhh hapo unanisingizia.
Unaediti Uwe nachura amaNipo naedit hapa
sie marafik wem hatulet nyuz mpy humuHahaaaa. Nimefurahi kuwaona tu marafiki zangu wapendwa. [emoji8]
Weee acha shoga angu. Tutalonga kuleee.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]unaanzaje kuiikimbia I'd yak kwa mfano dad
Hivi kweli hauoni kama nimebadilika?Tujibuni na sisi tubadilike hasa hornet
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unalo leo upo nafas ya 100Tujibuni na sisi tubadilike hasa hornet