Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Unaumisa ujueImeumuka hswaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumisa ujueImeumuka hswaa
Kweli mzee ila pamokoTumepotezana sana aisee
NataniaUnasemaaa hafu sio poa ujue
Amekuchafua wapi eti dadanguSikuona eti. Nimetoka kidogo tu kaanza kunichafua.
AfadhaliNatania
Itabidi iniache tu just work challengeHistoria haitakuacha salama[emoji116] [emoji23] [emoji23]
PoleSikuona eti. Nimetoka kidogo tu kaanza kunichafua.
Tabasamu tamu unalionaje na wewe? Mimi mzima bhana.Unatabasam tammmm
Hujambo?
Dj sepetu ana wenge sana, huenda ni aina ya viben10[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo alikuwa anamwendea kwa speed. Halafu Wanawake wengine hawapendagi hizo.[emoji28]
Ushaanza kupenda shemeji zako ,ntafanya uwe BannedMie sijambo kama nyie.
Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu, napenda sana tabia ya huyu dada member mwenzetu hapa JF. Huyu dada hana maringo, hana hasira hata mtu akimjibu utumbo. Hivi kwa nini na mie sina tabia njema kama za huyu dada (nina hasira sana). Mie mtu akinitibua ni jino kwa jino, jicho kwa jicho, mguu kwa mguu, mkono kwa mkono kinachofuatia ni nasomeka BANNED.
Wewe dada una busara sana. Mimi kama mwanamke mwenzio nasema hivi una tabia njema. Na kama una familia basi familia yako utakuwa unawalea katika maadili mazuri.
Huwa nikiona mtu "anamchokoza" huyu dada niko tayari kuingilia huo ugomvi (nina element za ugomvi sipendagi ujinga mimi).
Barikiwa sana Dada Sky Eclat pia nakutakia maandalizi mema ya mfungo (Kwaresma).
Wakati mwingine huwa sio malezi bali ni nasaba alizorithi kwa wazazi wake.......hongera kwake!!Nakupenda sana tabia yako japo sikujui. Pongezi kwa waliokulea hivyo na mazingira ambayo labda ndio yameku shape kuwa hivyo.
Siku hizi huna jipya umebaki kuosha na makalia za dada zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itabidi iniache tu just work challenge
Khaaa haya kama mzimaTabasamu tamu unalionaje na wewe? Mimi mzima bhana.