Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Tutarudi mavumbini Ndipo kila mtu atapambana na Hali yake...... Scooter tunakunya na yananuka tu Hahaaa [emoji23]
 
Mimi ni dhahabu hata unitupe mchangani nitang'ara tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niwe mkweli interview zako zilitufanya tuwafahamu members wa humu na tabia zao.
Swali lako la kufanyia ufuska sehemu hatarishi...
Migombani, vichakani na walionza kurukaruka wakiwa darasa la 4.
Ulijizolea umaarufu japo ulikuwa mtata kama buzi tata, hutaki kurekebishwa[emoji23] [emoji23]

Lkn uliunganisha wengi hadi kuwa wapenzi...hebu rudi mkuu
 
Mie sijambo kama nyie.

Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu, napenda sana tabia ya huyu dada member mwenzetu hapa JF. Huyu dada hana maringo, hana hasira hata mtu akimjibu utumbo. Hivi kwa nini na mie sina tabia njema kama za huyu dada (nina hasira sana). Mie mtu akinitibua ni jino kwa jino, jicho kwa jicho, mguu kwa mguu, mkono kwa mkono kinachofuatia ni nasomeka BANNED.

Wewe dada una busara sana. Mimi kama mwanamke mwenzio nasema hivi una tabia njema. Na kama una familia basi familia yako utakuwa unawalea katika maadili mazuri.

Huwa nikiona mtu "anamchokoza" huyu dada niko tayari kuingilia huo ugomvi (nina element za ugomvi sipendagi ujinga mimi).

Barikiwa sana Dada Sky Eclat pia nakutakia maandalizi mema ya mfungo (Kwaresma).
Mimi list ya wadada/wanawake wa humu ni kubwa kiasi fulani ninaowakubali

Sky Eclat ni miongoni mwao
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niwe mkweli interview zako zilitufanya tuwafahamu members wa humu na tabia zao.
Swali lako la kufanyia ufuska sehemu hatarishi...
Migombani, vichakani na walionza kurukaruka wakiwa darasa la 4.
Ulijizolea umaarufu japo ulikuwa mtata kama buzi tata, hutaki kurekebishwa[emoji23] [emoji23]

Lkn uliunganisha wengi hadi kuwa wapenzi...hebu rudi mkuu
Unajua watu wana chuki wakaanza kuniandama humu ili tu wanishushe!

Kuna members wana roho mbaya humu
Ni wachawi kabisa

Wivu wa ajabu kuna mmoja akawa ana comment ovyo ovyo ili kuharibu kipindi!

Wajue tu sepetu hashushiki l will come back as a storm.bastard!
 
Kwani we juzi si ulikataa mahari ukasema mpaka bibi aniweke ndani? Subiri mahari nyingine ije nikirudishwa ndo useme
Sasa mahari si mpaka niyathaminishe? Sasa unavyogoma kuja nikukague nitajuaje utamu wako ili niweke thamani halisi kwenye mahari?
 
Unajua watu wana chuki wakaanza kuniandama humu ili tu wanishushe!

Kuna members wana roho mbaya humu
Ni wachawi kabisa

Wivu wa ajabu kuna mmoja akawa ana comment ovyo ovyo ili kuharibu kipindi!

Wajue tu sepetu hashushiki l will come back as a storm.bastard!
Sikiliza dogo langu.
Ktk maisha usipopata ukinzani huwezi kufikia lengo. Wengi mnapopingwa mnakimbia, ulitakiwa ukomae kama mshana kwenye nyuzi za uchawi[emoji13]
Anabezwa lkn jamaa amesimamia anakilenga.
 
Back
Top Bottom