Elgibo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 1,067
- 1,518
Ha ha ha we mremboAnakuchafua ili nihamie kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha we mremboAnakuchafua ili nihamie kwake
Nilikuwa namtania mkuu. Hajawahi kunitukana hata siku moja.Ulimfanya nini? Kuwa mkweli nani alimchokoza mwenzie [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tatizo wewe mbaguzi unapenda makalio mazito tuAshindwe!
Bahati yangu anailalia mlango wazi
Babu.....Enhe kuna nini hapa?
Labeka bhabha...Babu.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilijuaa nasifiwa mimi ,sifa hizi zitatuua, Kwa hiyo NAHUJA mi Nashuka namba ngapi vile, au Ndio nipo Kwenye zile sifa za wanaotukana sana
Kumbe huna imani na mimi? Miaka yote hii mpk tushapata wajukuu?cocochanel ninalinda mafao ya watoto, hukawii kusikia kuna akiyenunuliwa kiwanja/nyumba
Nyama ya kangaroo ukinipa nalaa......Tatizo wewe mbaguzi unapenda makalio mazito tu
Babu mbona unapindisha methali[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Usione vyaelea... vimeundwa!
Wanitukana sasaNyama ya kangaroo ukinipa nalaa......
Pongezi mob mkuu....[emoji122]Shukran mkuu
No yaani mchagua k.. Si MTO...jiWanitukana sasa
Tangu lini ushasikia hodi ya chooni ikaitikiwa "karibu"?Babu mbona unapindisha methali[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
''Ukiona vyaelea vina mabawa"
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]