Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Huyu mwanadada member wa JF napenda sana tabia yake

Mie nimeingia enzi ikiwa Jamboforums. aliyenishawishi kuingia ni bwana mmoja alikuwa mtangazaji wa ITV, akaja akawa DC na siku hizi yuko Star TV anaitwa Novatus Makunga

Habari za siku tele,hongera kwa kuendelea kumantain akaunti yako JF kutokea Jambofurumd
 
Habari za siku tele,hongera kwa kuendelea kumantain akaunti yako JF kutokea Jambofurumd
hahahaah, ahsante sana Novatus Makunga, ukweli ulio wazi ni wewe uliyenileta hapa miaka hiyooooooo!!!!
 
Back
Top Bottom