Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Huyu mwanafunzi kweli kiboko*
Ticha: Wa kwanza kujibu swali langu ataenda Home mapema-..John kusikia hivyo....Karusha begi na daftari nje...
Ticha akauliza: Nani karusha begi nje?
John: Mimi..... Kwa heri Mwalimu......
Ticha: Wa kwanza kujibu swali langu ataenda Home mapema-..John kusikia hivyo....Karusha begi na daftari nje...
Ticha akauliza: Nani karusha begi nje?
John: Mimi..... Kwa heri Mwalimu......