Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 234
kwi kwi kwi nimecheka mbaya ndo maana ulokoleni sio kuzuri kuchagulia mchumba kule kumejazana watu wenye stress sana na kukata tamaa.
Stress sio za walokole ila ni maumbile ya kibinadamu,hakuna ambaye hana au hajawahi kuwa na stress,Bill Gates mwenyewe ana stress itakuwa wewe mla vumbi wa ulimwengu wa tatu!kwi kwi kwi nimecheka mbaya ndo maana ulokoleni sio kuzuri kuchagulia mchumba kule kumejazana watu wenye stress sana na kukata tamaa.
Mungu atasingiziwa mengi sana mwaka huu.
Huyu anashukuru "kufaulu" kwa sababu katika vitabu vya NECTA, kufeli ni division 0.
Mkuu Kiranga, sijui kwa nini serikali ikaweka division 0 pekee ndiyo kufeli maana ukiangalia kwa makini division 4 zingine ni huko huko tu kwenye 0!!
Walikuwa wanataka kumsitiri Nape Nnauye.