Huyu Mwanahabari za uchunguzi apewe maua yake

Huyu Mwanahabari za uchunguzi apewe maua yake

Who ever have a summary please do something, b'se I don't have time..🤨
 
huyu jamaa ni noma.
alafu cha kushangaza habari zake za kufukua uovu zinahusu matukio mabaya yanayofanywa na hidara za serikali ya Kenya,serikali ambayo kukuua sio kazi ngumu.
 
Aiseee umekosa uhondo sana wa Mbunge Mohamed Ali KTN - Jicho Pevu ,nilikuwa namfatilia sana Jaramandia la uhalifu ,Aiseee umenikumbusha mbali sana.
 
Aiseee umekosa uondo sana wa Mbunge Mohamed Ali KTN ,nilikuwa namfatilia sana Jaramandia la uhalifu ,Aiseee umenikumbusha mbali sana.
Kenya wako mbele sana. Ulishatazama the last door? Kile kipindi ukikifanya tanzanai watasema unaleta taharuki watakukamata. Jamaa anachunguza amuaji mengine yamefanywa na askari n.k.
 
Dah! Jicho pevu alimstaafisha mchungaji mmoja anaitwa Michael Njoroge kwa kuanika waza mitindo yake ya kununua mashuhuda kwenye ibada.

Ila funga kazi ilikuwa ile documentary ya Pastor Kanyari. Ile ilikuwa kabisa. Yani jamaa anarekodi kila kitu huwezi kubisha. Alimfanyia Pastor Kanyari atunge wimbo wa Toba na kuomba msamaha. Ingawa ndio hivyo alimtoa kwenye mstari mpaka Leo Hana kanisa.
 
Back
Top Bottom