Huyu mwanamke ana Watoto wanne kutoka kwa baba wanne tofauti mimi nataka kupewa Uuncle mbuzi. Never, Mjipange Wanawake

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Zaman ilikuwa ngumu sana kukuta mwanadada ana watoto wawil, watatu wana baba tofaut tofaut. Mimi sikuwa nikikutana sana na matukio ya hivi.

Naumwa toka last week. Sometimes nakuwa fresh then nakuta kichwa kinawaka moto mpaka kizunguzungu.

Ninepima Typhoid, Malaria, UTI, Pressure, kiwango cha damu n.k kote kupo normal. Nimeambiwa nije Aga Khan Town.

Nimekaa kimtego maana sitaki bugdha na mtu. Ameingia mdada wa mjini amevaa bukta na watoto wake wa 4. Na housegirl. Kaandikisha then akawa amekaa nilipo. Kiukweli kanitengenezea kajehanamu kadogo.

Mtoto mmoja anaonekana kweli anaumwa huyu kamlaza kwenye kiti hawa wengine wanapambana na dada yao na kuzunguka huku na kule wakikimbizana na kupigana dada yao ni kama ameshindwa wathibiti.

Huyu mama anapiga selfie nadhani arushe kwenye mitandao.anakapiga na haka kadogo ambako amekalaza kwenye kiti kichwa kakiweka mapajani pake si haba dada mzuri yale mapaja ningelala mimi kichwa kingepoa kabisa.

Hivi vitoto vinakimbizana huku na kule mama yao busy na simu alinichosha zaidi alipoanza piga simu akiwajulisha wazazi au sijui akina nani. Kila mmoja anaambiwa mtoto mmoja anaumwa. Ikram anaumwa nipo naye Aga Khan. Illam anaumwa nipo naye Aga Khan. Majina ya wale wawili nimeyasahau.

Baba zao wanapewa taarifa.ikabidi sasa aitwe mmoja mmoja apigwe picha amelala itumwe huko makao makuu. Inahitajika pesa kwa ajili ya matibabu.

Dada yupo busy na simu utadhani customer care. Ilibidi nimchukue huyu mdogo nimpakate alale kiuungwana.dada akashukuru akapata nafasi nzuri sasa ya kuongea na simu zake. Amemaliza akaja itwa na Mlinzi akavitoe vitoto vyake kuna sehemu vinaleta fujo.

Nikaachiwa mimi jukumu la mtoto hapo nikawaza nisije achiwa msala hivihivi. Baada ya muda karudi anakula ICE Cream ananiuliza Uncle we unakaa sura yako si ngeni. Nikasema hapa nami si ajabu nataka wekewa mazingira ya kutoa mimba thubutu.

Nikamjibu.akaitwa kupeleka mtoto ndani nikampelekea kwa dk. Dr anauliza mtoto anaumwa nini dada hata kuelezea hawezi akaenda mwita Housegirl. Mimi nikaonekana baba hopeless nimeleta mtoto sijui anaumwa nini.

Housegirl ndo akawa anajibu maswali ya Dr. Mama anang'aa ng'aa macho tu muda mwingi na simu. Tumetoka ananambia anaomba mawasiliano nami amependa jinsi nilivyo concerned. Nimempa. Haikupa muda akani text whatsapp. Namwangalia tu huyu dada anataka nihalalishia u uncle kijinga kabisa.

4 kids with different fathers. Na bado haoneshi kujenga utulivu. Maisha gani haya dada zanguni? Inanisikitisha sana.

Mimi nasubiri majibu ya vipimo kadhaa maana sielewi naumwa nini. Msione nimesimamisha ule uzi napitia changamoto nikiandika tu jioni napata maumivu sana ya kichwa.
 
International Danga Hao Wakiendelea Kujirahisisha Kuna Wapuuzi Watawachezea Hadi Waseme Yatosha.
 
Usiniangushe mkuu...hapo anakutunuku tu usiogope...na huyo lazma ni fundi hasa hebu fanya kama unajikuna.. Covid is real....
 
😀😀

Hatari lakini salama
 
We muda wote unaandika habari za mdada hapo hospital si ungekua ushamaliza sehemu ingine ya stori.
 
Mkuu Kwanini usimtafute mchungaji akuombee na hutofuatiliwa tena na nguvu za Giza?! Maana inaonyesha ume disclose Siri za ulimwengu wa giza ilihali wewe mwenywe bado upo upande wao
 
Zaman ilikuwa ngumu sana kukuta mwanadada ana watoto wawil,watatu wana baba tofaut tofaut.mi sikuwa nikikutana sana na matukio ya hivi...
Ila umri wako umeenda sana, nimeona avatar yako. Unaonekana kama wa miaka 77+.

Ila pole sana, hapo inabidi uondoe hizo nywele, mvi zimekuwa nyingi sana, mwenzio luwasa huwa anazisafisha.
 
Mkuu kwa nini usimtafute yule babu aliyekuwezesha kupata kazi kwa wale wadosi
 
Zaman ilikuwa ngumu sana kukuta mwanadada ana watoto wawil, watatu wana baba tofaut tofaut. Mimi sikuwa nikikutana sana na matukio ya hivi.

Naumwa toka last week. Sometimes nakuwa fresh then nakuta kichwa kinawaka moto mpaka kizunguzungu.

Ninepima Typhoid, Malaria, UTI, Pressure, kiwango cha damu n.k kote kupo normal. Nimeambiwa nije Aga Khan Town.

Nimekaa kimtego maana sitaki bugdha na mtu. Ameingia mdada wa mjini amevaa bukta na watoto wake wa 4. Na housegirl. Kaandikisha then akawa amekaa nilipo. Kiukweli kanitengenezea kajehanamu kadogo.

Mtoto mmoja anaonekana kweli anaumwa huyu kamlaza kwenye kiti hawa wengine wanapambana na dada yao na kuzunguka huku na kule wakikimbizana na kupigana dada yao ni kama ameshindwa wathibiti.

Huyu mama anapiga selfie nadhani arushe kwenye mitandao.anakapiga na haka kadogo ambako amekalaza kwenye kiti kichwa kakiweka mapajani pake si haba dada mzuri yale mapaja ningelala mimi kichwa kingepoa kabisa.

Hivi vitoto vinakimbizana huku na kule mama yao busy na simu alinichosha zaidi alipoanza piga simu akiwajulisha wazazi au sijui akina nani. Kila mmoja anaambiwa mtoto mmoja anaumwa. Ikram anaumwa nipo naye Aga Khan. Illam anaumwa nipo naye Aga Khan. Majina ya wale wawili nimeyasahau.

Baba zao wanapewa taarifa.ikabidi sasa aitwe mmoja mmoja apigwe picha amelala itumwe huko makao makuu. Inahitajika pesa kwa ajili ya matibabu.

Dada yupo busy na simu utadhani customer care. Ilibidi nimchukue huyu mdogo nimpakate alale kiuungwana.dada akashukuru akapata nafasi nzuri sasa ya kuongea na simu zake. Amemaliza akaja itwa na Mlinzi akavitoe vitoto vyake kuna sehemu vinaleta fujo.

Nikaachiwa mimi jukumu la mtoto hapo nikawaza nisije achiwa msala hivihivi. Baada ya muda karudi anakula ICE Cream ananiuliza Uncle we unakaa sura yako si ngeni. Nikasema hapa nami si ajabu nataka wekewa mazingira ya kutoa mimba thubutu.

Nikamjibu.akaitwa kupeleka mtoto ndani nikampelekea kwa dk. Dr anauliza mtoto anaumwa nini dada hata kuelezea hawezi akaenda mwita Housegirl. Mimi nikaonekana baba hopeless nimeleta mtoto sijui anaumwa nini.

Housegirl ndo akawa anajibu maswali ya Dr. Mama anang'aa ng'aa macho tu muda mwingi na simu. Tumetoka ananambia anaomba mawasiliano nami amependa jinsi nilivyo concerned. Nimempa. Haikupa muda akani text whatsapp. Namwangalia tu huyu dada anataka nihalalishia u uncle kijinga kabisa.

4 kids with different fathers. Na bado haoneshi kujenga utulivu. Maisha gani haya dada zanguni? Inanisikitisha sana.

Mimi nasubiri majibu ya vipimo kadhaa maana sielewi naumwa nini. Msione nimesimamisha ule uzi napitia changamoto nikiandika tu jioni napata maumivu sana ya kichwa.
Huna hela wewe, tulia Anko feki
 
Pole Sana chizi wetu,jitahidi uendeleze kule maana tunaunwa.Hizo neema na ubarikio wa huyo mama wanne usiulazie damu pia.
 
Back
Top Bottom