Huyu mwanamke ananitishia maisha

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vipi,

Embwana kuna msichana mmoja hapa kitaani , japo mimi pande hizi za kwao mimi ni mgeni coz sina hata miezi 3,sasa siku moja nimetoka zangu kwenye mishe zangu mara nikakutana nae maeneo na nipo ishi.

Then kugeuka nikajikuta nae ananiangalia ikabidi nijikaze nikamuita then nikamsalimia kama kawaida nikamuomba number akanipatia.

Tukaendelea kuwasiliana kama siku 2 mbili hivi then nikamkaribisha kwangu siku moja bila hiyana akaja.

Days back sijamtongoza,so alivyokuja geto alivyovaa kimtegotego ikabidi nirushe nduano hapo nikajikuta nakula mzigo.But nilimuambia tunapeana raha then kila mtu atakuwa free kwenye mambo yake.Na Mimi nina mchumba wangu

Sasa chakusikitisha huyu msichana amekuwa ananisumbua sana aniambia anataka tuendeleze game, so ili kumuonyeshe ilikiwa napita tu kama nilivyo muambia nimekuwa si response simu wala SMS zake.

Sasa juzi ameniambia lazima aje na wahuni wanifanyizie hapo ninapokaa labda niame ndio salama yangu.

Sms zake zote za vitisho nivyo and alafu mimi nimemdate siku moja sasa imekuwa kama nimempa mimba nikamtelekeza.

Hapa nawaza niende police nikamreport au nimpoteze niwasubiri hao wahuni wake.
 
Tigo, express yourself! itajazwa vocha
 
Mkuu niachie password zako za jf nitawapa wana mrejesho, wadau na nyie naomba msijemkasumbua kutoa rambirambi za mwenzetu huyu, mi tayar nisha andaa sanda, wanawake wote andaeni machozi, njemba zote mjiandae kuchimba kaburi, mods watatusaidia jeneza.
 
Haya bhana nashukuru kwa kunitakia mabaya lakini angalia hayo maneno yasikugeukie.
 
Mikwara tuu hiyooo, lkn hama hapo kama hutaki kuhama nunua ky jelly na kondom uziandae kabisa ikiwa wamekuja waombe watumie hizo zana
 
Wewe ni fala kabisa,yaani unatishiwa maisha na mtoto wa kike unakuja humu,si umtomb.,./e tu kama shida yake ni hyo?umetokea mkoani lini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah jamaa aremba etii
 
Reactions: BAK
S
Wewe ni fala kabisa,yaani unatishiwa maisha na mtoto wa kike unakuja humu,si umtomb.,./e tu kama shida yake ni hyo?umetokea mkoani lini?
Sio issue ya mkoa gani mkuu ni kwamba ninachokiona anataka aje aniharibie kabisa hata kwa yule lazizi wa moyo,imaging niendelea kumfunua,Je,siku yule yupo sio ndio atajileta kabisa alafu avuruge mambo.
 
Muite tena mpige mambo then mpotezee mpaka atakapojua anatumikishwa kingono atakuacha
ilinitokea hii..alinilazimisha sana..nikasaka mundende,puturuu,vumbi ya Kongo..aisee,acha tu..wakongo washenzi sana
 
Kwi kwi kwi kwi mtoto atazidi kunogewa na kujenga kambi🙂🙂

Wewe ni fala kabisa,yaani unatishiwa maisha na mtoto wa kike unakuja humu,si umtomb.,./e tu kama shida yake ni hyo?umetokea mkoani lini?
 
Hiyo sasa ndio raha ya kujaribu jaribu, kuna wengine hawajaribiwi. Pole sana mkuu.

Ila punguza uoga basi na wewe cha muhimu hapo ni msimamo wako kama unalegalega lazima utishike.

Pia waambie mapenzi hayalazimishwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…