Hapo vip!!
Embwana kudemu mmoja hapa kitaani ,japo mimi pande hizi za kwao mimi ni mgeni coz sina hata miezi 3,sasa siku moja nimetoka zangu kwenye mishe zangu mara nikakutana nae maeneo na nipo ishi.
Then kugeuka nikajikuta nae ananiangalia ikabidi nijikaze nikamuita then nikamsalimia kama kawaida nikamuomba number akanipatia.
Tukaendelea kuwasiliana kama siku 2 mbili hivi then nikamkaribisha kwangu siku moja bila hiyana akaja.
Days back sijamtongoza,so alivyokuja geto alivyovaa kimtegotego ikabidi nirushe nduano hapo nikajikuta nakula mzigo.But nilimuambia tunapeana raha then kila mtu atakuwa free kwenye mambo yake.Na Mimi nina mchumba wangu
Sasa chakusikitisha huyu demu amekuwa ananisumbua Sana aniambia anataka tuendeleze game,so ili kumuonyeshe ilikiwa napita tu kama nilivyo muambia nimekuwa si response simu wala sms zake.
Sasa juzi ameniambia lazima aje na wahuni wanifanyizie hapo ninapokaa labda niame ndio salama yangu.
Sms zake zote za vitisho nivyo and alafu mimi nimemdate siku moja sasa imekuwa kama nimempa mimba nikamtelekeza.
Hapa nawaza niende police nikamreport au nimpoteze niwasubiri hao wahuni wake.