Huyu mwanamke ananitishia maisha

S

Sio issue ya mkoa gani mkuu ni kwamba ninachokiona anataka aje aniharibie kabisa hata kwa yule lazizi wa moyo,imaging niendelea kumfunua,Je,siku yule yupo sio ndio atajileta kabisa alafu avuruge mambo.
Ulimtaka mwenyewe mkuu,jua jinsi utakavyo pambana na hiyo hali wakikutana,we ni mwanaume,wakikutana waambie mtakuwa wake zangu wote ambaye anaona anabanwa na awe wa kwanza kuondoka.
 
Acha uoga kijana hakuna kesi ya kipolisi hapo wanawake ndivyo walivyo ukimtema anakutishia wahuni au uchawi lakini utekelezaji sifuri. Walume tulishatishiwa sana lakini tunadunda hadi sasa. Ukitangatanga atakuharibia kweli ww kaa kizembe tu shauri yako.
 
Toa taharifa polisi. Wape evidence hizo.
Be realistic.
Anaweza kuwa muhuni.
Ila kama unajiamini basi sawa jiandae.
Wahuni sio watu wazuri
 
uko wapi uanaume wako kama unatishiwa maisha hadi na mtoto wa kike
 
Mwanaume wa Dar yaani demu anakutishia.. Nakumbuka kuna malaya mmoja niliwai kuomba game kumbe mchezo wao ilikuwa kama wanamjua mchumba ama mkeo basi wanamuita then wanakupigia ili na yy asikie mpange namna ya kuonana ilimradi tu iwe mtego..

Kwa bahati nzuri by the time wananipigia nilijibu kwa kifupifupi sana maana nilikuwa bize na sikwenda kama walivyopanga nikaenda zangu home..nikakuta wife kafura balaa..
Msosi kagoma kuweka mezani na majibu ya kimkato nikamshushia nakos ndo akaanza kusema kila kitu na kashfa juu.. Ikabidi niwe mpole nikampanga akanielewa

Wale mademu walikuwa ni wa mtaani na wanashinda saluni niliwafuata mlemle tena mchana kweupe unatembeza kichapo.. Wakaanza kunitishia eti utaona mpaka leo kimyaa ni mwaka wa 3 huu..

Nakushauri mwambie kama hajipendi afanye lolote otherwise kakuona ww mnyonge sana.. Hizi habari huna haja kufika polisi
 
Mimi hata wale wahuni wake nitawakalisha chini ngoja niwasubiri..hushauri wako nimekubali mkuu,sintamuogopa chura Yeyote.
 
Mdinye tena,tena ikiwezekana dinya kwelikweli, yaani dinya haswaa,halafu kuomba udinye na mfereji wa suez, hatarudi tena n'a hutawaona wahuni anaokutisha nao, mana utakuwa umewawahi ujanja
 
Mdinye tena,tena ikiwezekana dinya kwelikweli, yaani dinya haswaa,halafu kuomba udinye na mfereji wa suez, hatarudi tena n'a hutawaona wahuni anaokutisha nao, mana utakuwa umewawahi ujanja
Ha!ha!wewe jamaa.
 
Wewe ni fala kabisa,yaani unatishiwa maisha na mtoto wa kike unakuja humu,si umtomb.,./e tu kama shida yake ni hyo?umetokea mkoani lini?
Huyu wa Dar bila Shaka,sisi WA mikoani huwa hatulii lii,sisi tunagawa tu dozi, ukizingatia tunakula ugali WA ulezi, mgumu kutoka kwenye kinyeo, unaamua kutokea mbele,ndio maan show zetu sio Zach mchezomchezo,vidume WA Dar Es Salaam mnatuaibisha BWANa, Au bashite keshawaharibu
 
Utakuwa mwanaume wa Dar ww siyo bure!
Mbato mtoto huyo eboo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…