Huyu mwanamke anatafutwa

Huyu mwanamke anatafutwa

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,095
mwanamke%2Banayedaiwa%2B%2Bkutoweka.jpg

Mwanamke mkazi wa mji wa Makambako wilaya ya Njombe mkoa wa Njombe Queen Daniel Chonya (pichana juu) anatafutwa na mume wake mfanyabiashara wa mji wa Makambako Timoth Mbuma kwa tuhuma za kumtorosha mtoto pamoja na kukimbia na kiasi cha fedha kiasi cha shilingi milioni 15.

Akizungumza na mtandao huu wa Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima mfanyabiashara huyo Bw Mbuma amesema kuwa mwanamke huyo ametoroka na mtoto wa kiume mwenye mwaka mmoja na miezi mitano anayeitwa Given au Juniour na kuwa mwanamke huyo mkazi wa Malangali wilaya ya Mufindi ambaye ameishi naye kwa miaka minne sasa katika eneo la Mwembetogwa mji wa Makambako.

Ameongeza kuwa kabla ya kutoweka yeye na mkewe huyo hapa kuwa na ugomvi wowote na kuwa machi 19 siku ya jumatatu asubuhi ambapo alimuita dukani kwa ajili ya kutumwa bank ya NBC kupeleka fedha kiasi cha shilingi milioni 15 .

Baada ya kupewa fedha hizo alikwenda nyumbani na kufungasha baadhi ya vitu kama nguo na vyombo na kutoweka na kuwa mwanamke huyo anasemekana yupo jijini Mwanza ama jijini D'Salaam na kuwa hadi sasa tukio hilo limeripotiwa polisi kwa kumbukumbu namba MKB/RB/709/12 na kuwa kwa yeyote mwenye taarifa anaweza kutumia namba 0752242464 au 0786505524 ama 0655505524 kuwa kubwa hapa anahitaji mtoto na kuwa mtu yeyote mwenye taarifa sahihi alipo mwanamke huyo atazawadiwa donge nono

Source: Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
 
Jamani atake mwona popote pale tunaomba ushirikiano wako.
 
Donge nono kiasi gani?? Mamaa ana kitita cha million 15 so inabidi hiyo zawadi yenu iwe zaidi ya hapo lasivyo nikikutana nae tunaenda kufanya wote starehe mjini hapa...
 
kuondoka na mtoto bila idhini ya mahakama au nyie wawili hiyo ni kidnapping... na kisheria anaweza kushtakiwa...
Inawezekana kutegemeana na mahusiano kati yao. . otherwise wameondoka na sio wametoroshana.
 
Hili ni Funzo kwa wanaume wababe na wasiotulia na familia zao, najua tu Hadithi hapa ni kwamba Mama kachoka na hili Dume la mbegu na Ndo maana kaondoka, she is responsible Ndo maana kaondoka na mtoto! Msimsaidie jamaa kumtafuta, ale jeuri Yake!

mwanamke%2Banayedaiwa%2B%2Bkutoweka.jpg

Mwanamke mkazi wa mji wa Makambako wilaya ya Njombe mkoa wa Njombe Queen Daniel Chonya (pichana juu) anatafutwa na mume wake mfanyabiashara wa mji wa Makambako Timoth Mbuma kwa tuhuma za kumtorosha mtoto pamoja na kukimbia na kiasi cha fedha kiasi cha shilingi milioni 15.

Akizungumza na mtandao huu wa Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima mfanyabiashara huyo Bw Mbuma amesema kuwa mwanamke huyo ametoroka na mtoto wa kiume mwenye mwaka mmoja na miezi mitano anayeitwa Given au Juniour na kuwa mwanamke huyo mkazi wa Malangali wilaya ya Mufindi ambaye ameishi naye kwa miaka minne sasa katika eneo la Mwembetogwa mji wa Makambako.

Ameongeza kuwa kabla ya kutoweka yeye na mkewe huyo hapa kuwa na ugomvi wowote na kuwa machi 19 siku ya jumatatu asubuhi ambapo alimuita dukani kwa ajili ya kutumwa bank ya NBC kupeleka fedha kiasi cha shilingi milioni 15 .

Baada ya kupewa fedha hizo alikwenda nyumbani na kufungasha baadhi ya vitu kama nguo na vyombo na kutoweka na kuwa mwanamke huyo anasemekana yupo jijini Mwanza ama jijini D'Salaam na kuwa hadi sasa tukio hilo limeripotiwa polisi kwa kumbukumbu namba MKB/RB/709/12 na kuwa kwa yeyote mwenye taarifa anaweza kutumia namba 0752242464 au 0786505524 ama 0655505524 kuwa kubwa hapa anahitaji mtoto na kuwa mtu yeyote mwenye taarifa sahihi alipo mwanamke huyo atazawadiwa donge nono

Source: Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
 
naomba namba ya simu ya huyo mama...nimsadie jamaa..itachua mda mfupi tutajua location yake.....hata kama kazima simu na kutupa line
 
Jamani hamjui yamemkuta yepi mwenzenu na ma RB tele,huyo mume analo alilomfanya mpaka akaondoka sio bure,kachoka nafsi yake.
 
kuondoka na mtoto bila idhini ya mahakama au nyie wawili hiyo ni kidnapping... na kisheria anaweza kushtakiwa...

Mama ashitakiwe kwa kuondoka na mtoto wake? Hilo gumu sana kuthibitishwa. Kwa kuondoka na pesa anaweza kushitakiwa kama ikithibitishwa aliiba, ila je kuna ushahidi kuwa alikabidhiwi hizo fedha? Maana hapa kuna maelezo ya upande mmoja tu ie upande wa mume. Je mke akijitokeza na kusema aliondoka baada ya kuwa ananyanyaswa na mumewe mtasemaje?
 
Huu mpunga 15m anaenda kula na kaserengeti boy huko Mbagala.
Dah wanawake nyie jamani mna roho za kutu
 
Back
Top Bottom