Huyu mwanamke inapoelekea nitampiga nifungwe bure

[emoji29] so sad umenkumbusha nilivyompambania demu wangu,licha ya mengi mazur niliomfanyia mwisho wa siku ubaya wake kwangu ulizid kiasi kwamba alishaenda hadi kunishtaki kituo cha police na lengo ni kunifunga kabisa gerezani, utajiuliza ni kosa gani nilifanya ila kwa hakika ukiwa na moyo mdogo unaweza ukapewa kesi ya kuua,

pole sana bro achana nae usije chimbia ndoto za maisha yako kwa mikono yako mwenyewe.


Kuhusu moyo wa kisasi mpaka mda huu ninao ila nashukuru mungu yapo mengi ya kunishughulisha na at least nimekua MTU wa mungu zaidi na mengine nimemuachia mungu na kusamehe......



Katika mafunzo ya kidini kupitia vitabu vitakatifu tumeambiwa HAWA alitoka katika ubavu wa ADAMU...... HIVYO BASI wanawake ni sawa na ubavu ulivyo kaa umepinda pinda, ukitaka unyooshe ubavu uwe kama rula unaweza ukafunja(kuua),hivyo mwanamke Siku zote ni MTU wa vitimbi ukitumia nguvu nyingi utaishia pabaya kwani ndo nature yao.

Hivyo tuchukue lile neno takatifu kutoka kwa muumba,wanawake tuishi nao kwa akili na sisi ndo viongozi wao,kiongozi bora ukitaka upime uwezo wako kafuge mbuzi(wafugaji watakua wamenielewa)..ukimuweza kumuongoza mbuzi bila kumdhuru kwa maudhi yake we utaweza kuishi na kiumbe yoyote hususani mwanamke, hasikiiii kama mbuzi vile alivyo na maudhiii yake hivyo hawaishi vitimbi..!!!!!!


Pole sana kaka mungu awe naww katika kipindi hichi kigumu na Huyo shetani wa kisasi mlaani usije maliza ndoto zako mwenyewe!!!!




F@nn¥[emoji769]
 

Mshukuru Mungu tu. Imagine if you would had married to her, how ugly situation would be?

Afterall, sio mkeo, hukufanya commitment yoyote to officiate as your wife, so what are you troubled? Fedha uliyotumia kumhudumia? Kwamba she was gold to you? alikuandikia sms mbaya?

Upande wangu, you were frustrated and stressed by other problems, likely matatizo ya ugonjwa wa mama.


Mwanamke asie mkeo huna haja ta kuumiza kichwa, hata kuchukua malaya sio sustainable solution. You have to settle you mind, abort every idea toward this idiot woman. That was Gods plan to salvate you from there,

Uliamwamini bila kuweka akiba. Hukumjua, ulihudumia kama mkeo wakati sio. Specifically you might crated her in that way she acted on you


Mbona ni kama unatamani kufungwa? Wakristo husema " unabii huumbwa katika maneno ya mtu" nakusihi usijitabilie kifungo. Hata hivo, huna haja, yawezekana wewe ndie unayemtesa kuliko yeye anavokutesa kwa sasa.

Thank Jimmy
 
 
Pole sana, hayo ndiyo mapenzi, lakini usiwachukie wanawake wote ni huyo tu wakwako, huyo achana naye hana mapenzi ya kweli ni tapeli, halafu acha kununua wanaojiuza tafuta mwanamke anayejielewa uoe, usije jipatia maradhi bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu pole Kwa yaliyo kusibu.

Amekupenda Wakati wa Raha wakati wa shida amekuacha ila kosa ulilofanya kumhudumia binti ambaye hujamweka ndani mkuu ulikuwa Baba Mlezi wa Familia ya binti?
Haya makosa Kila Siku huwa wanaongea humu Jamii Forum usimhudumie binti ambaye hujamuoa hamtaki ndo hayo yamekutokea gharama ulizotumia ndo zinakuumiza wala sio kwamba unampenda.

Wapendwa mjifunze kutokana na Makosa

Wellcom pujo
 
Nitofautiane na mtazamo wa wengi.

Mbona naona umasikini ndio adui yako!!
Tuambie ulitaka nani akutunzie mbunye wewe uwe unapunguzia mawazo kwa kuifiligisa?

Mbona binti kakwambia wazi hitaji la MATUNZO!! Unakwama wapi kuelewa?

Hajasema hakupendi! Kwa kudhihirisha hilo anaomba na mpaka kulazimisha vikao vya maridhiano.

Wewe ndio una akili mzigo.
 
Haya mambo yasikiage tu,nilifanywa vibaya na demu fulani ambaye nilijitolea sana kwake.nikasafiri kurudi ghafla nakuta hm mpk pana buibui kibao,nampigia yaani ni km niko dar,mpaka anakuja ukinikuta pale kachoka fix zote alipopigwa kumbe na mtoto kanipeleka moshi anaishi kwa jamaa.
Ile banana maswali katoka nje kidogo karudi na manjagu.
Nikalala post.
Mzee nilikua na kakisu fulani unaongea button tu,kenyewe wanapiga kazi.
Siku nimepanga nikamalize mzigo na nishamwambie tukutane kwa suluhu mahali fulani kakubali.
Siku hiyo nikala ndumu kwanza,kisha nikapita kwa macheni nipige nyagi kidogo stimu nikamalize kazi aaah vibaya wakafanya yao wakapiga ndole silaha yangu sioni kichaa kinampanda kikashuka,
Ikabidi niwe mpole ila nashukuru wale vibaya wamefanya nipo mtaani mpk leo.
Alafu demu kafuliaaa kila siku kunililia shida.
Nafikiria "Ww bahati yako"
 
Huyo demu ni chuma uletee aisee hakufai maishani tena mshukuru mungu kukuepusha na ilo janga

Usha pata kazi endeleaa na maisha yako mkuu huyo anakuoenda wakati wa raha tu. Mpe onyoo kali !! Mwishowe atachoka na atakupotezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonyesha ni binti wa mitaa ya kwenu, hama tu huo mtaa, hamia kwingine msionane, akiendelea kukufuata huko ulikohamia ifahamishe serikali ya mtaa wako kuwa hutaki huyo mwanamke akanyage nyumbani kwako.
Akikaidi anaweza akashitakiwa na jamhuri kwa kosa la kujihatarishia maisha yake. Simple like that.
Wanaatarifiwa polisi anadakwa. No ngumi wala tusi mzee. Jela sio poa.
 
Nimesoma stori pamoja na ushauri aliopewa jimmy,ningekuwa ndio mm naona ni simpo tu namgeuza kama malaya pia natomba nasepa bila kutoa kitu yeye mwenyewe akili itamkaa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…