Huyu mwanamke mpenda mpira vipi?!?!

Herufi kubwa zinachosha kusoma!
Kwanini utumie herufi kubwa lakini?
 
Ulivyo andika Kwa kufoka(herufi kubwa) nikajuwa bla blah blah
Na Ngonjera za wiki endi.
 
Ni kawaida sana kwa baadhi ya wanawake kupenda mpira. Wako wengi wanaopenda. Hilo sio jambo la kuchukia ni la kufurahia kua mwenziwako anapenda kitu ambacho na wewe unapenda. Labda Kuna kitu mbali na hichi unachokichukia kwake. Jichunguze.
Habari umeshaibadili, kasema hana mzuka na mambo ya mpira!
 
seneta ulienda ntwara nini? ulipotea na story zako za kulala maskini alafu gafla unapendwa na demu kaliii!!!
unapenda mazali wewe
 
Umeharibu hapo mwisho kumbe unaishi na ng'ombe????nakushauri uachane naye maana kuna siku utakuja kukufumua mapembe na ukafilia mbali
 
Simba imara simba imara

Yanga makopo yanga makopo...
Reminding me those days 90's

Radio ya mkulima betri NNE ziko redioni ,NNE zimeanikwa juani zikisubiri kuzisubstitute hizi zilizoko redioni.

Mara hauko makini kusikiliza...mara Juma Nkamia anakuambia gooooooo....

Hujui ushangilie au usikitike.
Mara unasikia ..pompopo mpopo eeeeh kidedea....

Unajua mnyama keshaua huko

Ndio inakuja hiyo Simba imara Simba imara....Yanga za makopo Yanga za makopo.


You made may day mdada. Thanks
 
Nina waswas na makala hii siyo bure tumeingizwa chaka
 
Kawaida yako na vistori vya uongoupngotu
Af kibaya hujui kudanganya
 
So sad
 
Hahahaa [emoji317]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…