Jamaa ni mwanaume?Shida yake ni nini?
Ila unajua ku act mwanamke..kweli ya mungu ni mengi
Mwanamke ila anapenda kutokelezea kama dumeJamaa ni mwanaume?
Hebu tupia hata ka wimbo kake kamoja basi,tena kama anayo video ndio poa zaidi.Mara kwa mara huwa nasikiliza nyimbo zake huyu dada daaah!
Anajua sana....
Nikiisikiliza hii cover yake ya forever aliyoimba na rubi ndio "chafuu kabisaaa"
View attachment 425322
Mleta threadMwanamke ila anapenda kutokelezea kama dume
Ndiyo ni jibu..ni moja ya watu wanaobadilikabadilika jinsia JF kila kukichaJamaa ni mwanaume?
Imepenyaa unajisikia raha gani kuact kikekikeAcha umbea we
Kule Mmu wamejazana na stori zao za kutunga ndio maana huwa sipachukulii serious kabisa.Imepenyaa unajisikia raha gani kuact kikekike
Wacha àjípe promo anajiweza sema watz hatuna habar na watu wanàochana kuna nyimbó take katoa na centanoNaona chemical unajipromoti
Wanajiita wanaume wa vidole juu,yani anaandika uzi amelegea kila kiungo cha mwili huku anatikisa nyonga asalaaalaaleeeKule Mmu wamejazana na stori zao za kutunga ndio maana huwa sipachukulii serious kabisa.
Wanatafuta attention na umaarufu kimba.