Huyu mwanamke mwenzangu wa dar "rapper Chemical" aisee ni sheeedah!!!

Huyu mwanamke mwenzangu wa dar "rapper Chemical" aisee ni sheeedah!!!

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Mara kwa mara huwa nasikiliza nyimbo zake huyu dada daaah!
Anajua sana....
Nikiisikiliza hii cover yake ya forever aliyoimba na rubi ndio "chafuu kabisaaa"
1477586796773.jpg
 
Kule Mmu wamejazana na stori zao za kutunga ndio maana huwa sipachukulii serious kabisa.
Wanatafuta attention na umaarufu kimba.
Wanajiita wanaume wa vidole juu,yani anaandika uzi amelegea kila kiungo cha mwili huku anatikisa nyonga asalaaalaaleee
 
Back
Top Bottom