Huyu mwanamke mwenzangu wa dar "rapper Chemical" aisee ni sheeedah!!!

Huyu mwanamke mwenzangu wa dar "rapper Chemical" aisee ni sheeedah!!!

Mara kwa mara huwa nasikiliza nyimbo zake huyu dada daaah!
Anajua sana....
Nikiisikiliza hii cover yake ya forever aliyoimba na rubi ndio "chafuu kabisaaa"
View attachment 425322
1477595672862.jpg
kiboko yake huyu hapa

Chemical hamfikii kabisa huyu dogo (pink)
 
Weka picha we kaka[emoji23] [emoji23]
Unakunywa banana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Picha za vinywaji hasa pombe JF haziruhusiwi mana kuna wafia dini humu..ila kwa nini unapenda kujibadili jinsia yako
 
Back
Top Bottom