STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Huyu mpenzi sasa nimeamua tuachane maana
kama ujinga hapa ndio makao makuu, siku moja,
aliniiuliza ‘ Hivi naweza kumuua samaki kwa
kumzamisha kwenye maji?’ sikumjibu maana niliona
heri ninyamaze, jibu langu linaweza kuonekana tusi.
Leo kanipigia simu, eti ananiuliza,'Samahani Baby namba yako
ya simu ngapi? Nikumbushe mie nimeisahau'