Huyu Mwanamke Ni Mjinga Sana..!!

Huyu Mwanamke Ni Mjinga Sana..!!

Huyu mpenzi sasa nimeamua tuachane maana
kama ujinga hapa ndio makao makuu, siku moja,
aliniiuliza ‘ Hivi naweza kumuua samaki kwa
kumzamisha kwenye maji?’ sikumjibu maana niliona
heri ninyamaze, jibu langu linaweza kuonekana tusi.
Leo kanipigia simu, eti ananiuliza,'Samahani Baby namba yako
ya simu ngapi? Nikumbushe mie nimeisahau'
Vistory vya kutunga sjui huwa unavitolea wap!!??
 
Inawezekana kweli kaisahau. Kwani nani siku hizi huwa anakariri namba za simu za watu?

Labda uniambie hujafurahishwa na yeye kutokuisevu samba yako. Ujinga wake siuoni hapo.

Lakini pia labda ana utetezi...huenda anatumia simu mpya ambayo bado hajaiesevu namba yako.

Mi mwenyewe namba za simu ambazo nimezikariri kichwani hata tatu hazifiki.
Acha kutetea ujinga kama haijui amempigia vip
 
Inawezekana kweli kaisahau. Kwani nani siku hizi huwa anakariri namba za simu za watu?

Labda uniambie hujafurahishwa na yeye kutokuisevu samba yako. Ujinga wake siuoni hapo.

Lakini pia labda ana utetezi...huenda anatumia simu mpya ambayo bado hajaiesevu namba yako.

Mi mwenyewe namba za simu ambazo nimezikariri kichwani hata tatu hazifiki.
huyu alojibu ndo chizi kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu mpenzi sasa nimeamua tuachane maana
kama ujinga hapa ndio makao makuu, siku moja,
aliniiuliza ‘ Hivi naweza kumuua samaki kwa
kumzamisha kwenye maji?’ sikumjibu maana niliona
heri ninyamaze, jibu langu linaweza kuonekana tusi.
Leo kanipigia simu, eti ananiuliza,'Samahani Baby namba yako
ya simu ngapi? Nikumbushe mie nimeisahau'
We Stunner ndo utakuwa mjinga [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Swali kama hilo... La samaki think deeply... Hajamaanisha samaki unaemjua... May be kuna kitu kimefanyika au umekifanya ukaona umetumia akili nyingi na umewin kunbe hujafanya badiliko lolote on the situation.. Ndo kaamua kukuuliza samaki ukinzamisha kwenye maji anakufa? Kama jibu ni hapana basi jua ulichokifanya hakijafua dafu.. ..
Goodday....
Huyo mwanamke anaakili nyingi kuliko wewe. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mwambie hv... unikome, niko na mpenzi wangu hapa... sikujui.. akisema unasemaje...!!? unabadili sauti kama demu, unamwambia kwa sauti ya demu, wee..ma.laya wee, umkome mume wangu, kajiuzee ukooo, nini na nini... akisema na ww kwendaaa... unamjibu peleka mategee ukooo, maning'ing'ini wee, umekomaa miguu kama joti, alafu mkati simu, mblock mitandao yote..

Do tht..!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aah! Watu mna maneno jamn..
 
We Stunner ndo utakuwa mjinga [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Swali kama hilo... La samaki think deeply... Hajamaanisha samaki unaemjua... May be kuna kitu kimefanyika au umekifanya ukaona umetumia akili nyingi na umewin kunbe hujafanya badiliko lolote on the situation.. Ndo kaamua kukuuliza samaki ukinzamisha kwenye maji anakufa? Kama jibu ni hapana basi jua ulichokifanya hakijafua dafu.. ..
Goodday....
Huyo mwanamke anaakili nyingi kuliko wewe. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Walikuepo wanawake wenye akili za kuongea kwa code hiyo ilikuwa enzi za kina Andrew Nyerere , Lakini sio sasa
 
Kwahiyo stunter we ndo dodoma?maana pia kuna mirembe kule makao makuu
 
siku yaja atakusahau mpaka wewe mwenyewe aisee mkuu toroka bado mapema
 
Inawezekana kweli kaisahau. Kwani nani siku hizi huwa anakariri namba za simu za watu?

Labda uniambie hujafurahishwa na yeye kutokuisevu samba yako. Ujinga wake siuoni hapo.

Lakini pia labda ana utetezi...huenda anatumia simu mpya ambayo bado hajaiesevu namba yako.

Mi mwenyewe namba za simu ambazo nimezikariri kichwani hata tatu hazifiki.
Aisee,we jamaa kilaz,a kweli!Inamaana huyo dada amewezaje kumpigia simu?
 
Huyu mpenzi sasa nimeamua tuachane maana
kama ujinga hapa ndio makao makuu, siku moja,
aliniiuliza ‘ Hivi naweza kumuua samaki kwa
kumzamisha kwenye maji?’ sikumjibu maana niliona
heri ninyamaze, jibu langu linaweza kuonekana tusi.
Leo kanipigia simu, eti ananiuliza,'Samahani Baby namba yako
ya simu ngapi? Nikumbushe mie nimeisahau'

I say Mkuu Stunter, yaani afadhali mke wako sio mjinga kama wangu. Maana mie mke wangu hapa juzi analikuwa anaenda semina mikoani, akapaki kondom zangu kibao kwenye begi lake wakati dushulele hana! Yaani nilimcheka sana!
 
Hahahaha.... Labda alikuwa anataka usigegedane mpaka urudi,
 
Back
Top Bottom