Leo kanipigia simu, eti ananiuliza,'Samahani Baby namba yako
ya simu ngapi? Nikumbushe mie nimeisahau'
AiseeeeHuyu mpenzi sasa nimeamua tuachane maana
kama ujinga hapa ndio makao makuu, siku moja,
aliniiuliza ‘ Hivi naweza kumuua samaki kwa
kumzamisha kwenye maji?’ sikumjibu maana niliona
heri ninyamaze, jibu langu linaweza kuonekana tusi.
Leo kanipigia simu, eti ananiuliza,'Samahani Baby namba yako
ya simu ngapi? Nikumbushe mie nimeisahau'
haa aa kweli kabisawewe na demu wako wote maboya tuu.....
kweli mkuu mm mwenyewe nimekariri namba moja tu ambayo ni yangu tu...ila inabidi nianze zoezi kukariri namba ya mzazi wangu....mana hakuna namnaInawezekana kweli kaisahau. Kwani nani siku hizi huwa anakariri namba za simu za watu?
Labda uniambie hujafurahishwa na yeye kutokuisevu samba yako. Ujinga wake siuoni hapo.
Lakini pia labda ana utetezi...huenda anatumia simu mpya ambayo bado hajaiesevu namba yako.
Mi mwenyewe namba za simu ambazo nimezikariri kichwani hata tatu hazifiki.
Leo kanipigia simu, etiInawezekana kweli kaisahau. Kwani nani siku hizi huwa anakariri namba za simu za watu?
Labda uniambie hujafurahishwa na yeye kutokuisevu samba yako. Ujinga wake siuoni hapo.
Lakini pia labda ana utetezi...huenda anatumia simu mpya ambayo bado hajaiesevu namba yako.
Mi mwenyewe namba za simu ambazo nimezikariri kichwani hata tatu hazifiki.
Leo kanipigia simu, eti
ananiuliza,'Samahani Baby namba yako
ya simu ngapi? Nikumbushe mie
nimeisahau'
hahaa mkuu umenifanya nicheke kwa saut hapa nilipoMwambie hv... unikome, niko na mpenzi wangu hapa... sikujui.. akisema unasemaje...!!? unabadili sauti kama demu, unamwambia kwa sauti ya demu, wee..ma.laya wee, umkome mume wangu, kajiuzee ukooo, nini na nini... akisema na ww kwendaaa... unamjibu peleka mategee ukooo, maning'ing'ini wee, umekomaa miguu kama joti, alafu mkati simu, mblock mitandao yote..
Do tht..!!
Jamani nani tena anatumia user ya Nyani Ngabu ? Maana jinsi alivyo jibu walah sie mwenyewe.Inawezekana kweli kaisahau. Kwani nani siku hizi huwa anakariri namba za simu za watu?