babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Miafrika haijalaaniwa bali ni mijinga, mijinga tu.Mbona kama umejibu ulichonipinga! miAFRICA mingi hasa inayofanyakazi za Serikali mingi ni mipumbav
Sent using Jamii Forums mobile app
atii sheria gan hapo,wkt hao askari hawafati sheria,haki,wala uhuru,au una maanisha askari hawapaswi kufuata sheria?Huyu mama hajakutana na polisi vichaa angeomba poo na ni nyie nyie mngelaumu hapa.
Tii sheria bila shurti, huyo mama ni km yuko jùu ya sheria, angekatwa mitama hapo kilamtu angesema lake
Mkuu habari yako.Ngoja nikusaidie kumuita
Cc Malcom Lumumba
La kumzuia Polisi kufanya kazi yake.
Kwema kabisa mkuu wanguMkuu habari yako.