Huyu mwanamke nimemkubali sana, Polisi na Serikali zetu aibu

Huyu mama hajakutana na polisi vichaa angeomba poo na ni nyie nyie mngelaumu hapa.
Tii sheria bila shurti, huyo mama ni km yuko jùu ya sheria, angekatwa mitama hapo kilamtu angesema lake
 
atii sheria gan hapo,wkt hao askari hawafati sheria,haki,wala uhuru,au una maanisha askari hawapaswi kufuata sheria?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kiasi chake kuna utofauti uliyopo kati ya polisi wa Tz na Ug.

"N.W.A" waliona mbali kuhusu polisi.
 
Back
Top Bottom