Huyu mwanamke nimemtokea kakubali ila nimemwambia sina kazi wala kipato kwani nimeyumba sana kimaisha, kasema poa hamna shida

Huyu mwanamke nimemtokea kakubali ila nimemwambia sina kazi wala kipato kwani nimeyumba sana kimaisha, kasema poa hamna shida

Huyo ndio mke muoe.

Wanawake wa kichaga wengi wanayo hiyo spirit hata kama atakukuta unalala chini au stand. Kikubwa muwe na focus ya maisha, ila mkitoboa ukizingua anakunyoosha.. nawapenda sana Hawa watu
 
Usimpe chochote mwaka mzima halafu baada ya mwaka umwambie ule mchongo wako unao usikilizia umetiki.

Ndani ya miezi sita utapata majibu kamili.

Ndani ya miezi Tisa atakuwa na mtu mwingine.

Ndani ya miezi 11, atamwambia shoga ake kwamba wewe hanithi.

Mwezi wa 13 atasema kwa jamaa yake mpya, kwamba ninyi hamjawahi kugusana.

Akikomaa na hayo mahusiano na kukupenda hivyo hivyo ujue umeokota dhahabu, anza kuitunza
 
Back
Top Bottom