Noah Scribe
JF-Expert Member
- Dec 29, 2024
- 578
- 1,436
π π Natafuta shamba huko, nitakuwa majira flani nakuja kujificha tu huko hata na mke wa mc pili pili π€£π€£π€£Baridii moja zuri sana hutojutia aseeh π π....... Lazima kiumeni kuumane
Hebu nikumbushe tulikua tunajadili nini mkuu?Havina kanuni π π
Mwanadamu anabadirika.. anaweza kuwa mzuri au mmbaya au neutral.. mapenzi ni aina ya ku take risk tu.. kujitahidi ku minize maana ku avoid ngumu.. ni kama unaishi na chatu ndani au cobra
π π hoy holy broke ndio tukaoeHebu nikumbushe tulikua tunajadili nini mkuu?
Yah rule number 1 :usimwambie mwanamke udhaifu wakoUmefanya kosa kubwa kumwambia huyo mwanamke ukweli! Usithubutu kumwambia kila ukweli mwanamke yeyote utajuta!
Tatizo ni moja, binti hana kipato chochote na wewe mwanaume unapenda vya bure. Kama hakuombi hela jua kuna anayemtimizia mahitaji yake.Unashtukia mtu anakuambia Karibu kwenye harusi yangu kaka wa hiyari π
Kabisa hamna vya bureTatizo ni moja, binti hana kipato chochote na wewe mwanaume unapenda vya bure. Kama hakuombi hela jua kuna anayemtimizia mahitaji yake.
Hili libandikwe katika kila lango kuu la kila chuo hapa tanzaniaBro wanawake ni kama panya wa SUA, lazma tu kuna fursa ameinusa hapo.....
Dah! Kweli kila mtu ataoa malaya ombea wako asiwe anajulikanaKabisa hamna vya bure
Na nyie masponsor vitengenezwe vipeperushi mtembee navyo kwenye mifuko ya shatiHili libandikwe katika kila lango kuu la kila chuo hapa tanzania
Huwa nashangaa Vijana! Je, afe njaa? Binadamu yeyote ana matumizi yake. Kama hana uwezo wa kuyamudu, lazima atafute njia mbadala.Kabisa hamna vya bure
Ngoma draw hiiNa nyie masponsor vitengenezwe vipeperushi mtembee navyo kwenye mifuko ya shati
Kumbe Kula kulala ndo maana unaita watu wadangajiHata mimi sina kazi na nimekubaliwa ila nikimwambia nampenda ananijibu "Nashukuru"
Lia huku unaongea muda hautoshiKumbe Kula kulala ndo maana unaita watu wadangaji
Mwanaume suruali wewe