Huyu mwanamke unaweza kumwelezeaje uzuri wake?

Nilidhani wewe pia ni mmoja wa wanaotumia usemi wa 'uzuri wa nyumba choo'

Nashangaa wanaume wote humu mmempondea mdada wa watu. Isije ikawa alo comment wa kwanza amewa-influence.

Hamna lolote hapo...............!
 
wivu wivu wivu

aaaaah waaapiiii!! maboya tu hayooo,
angalia boys wamecomment nn hapo hiyo kitu ni fahari ya macho tuu hata kupata size ya pichu shida sasa raha iko wapi, kila kitu kikiwa medium ndo inanoga bana yaani isiwe low wala isiwe above weweee ukiipata ya namna hiyo huwezi banduka am telling u loooh!
 
Wewe mtoto kwa kupangilia maneno sikuwezagi. unajiamini na kwa hilo Ndiyo maana nakupenda
 
Wewe mtoto kwa kupangilia maneno sikuwezagi. unajiamini na kwa hilo Ndiyo maana nakupenda
 
Hapa kuna tatizo la tafsiri ya uzuri. Inaonekana wewe unatafsiri uzuri = ******. wengine tunatafsiri vingine, na mtu kama wewe hayo unayapenda kwa sababu una kazi nayo.
 
Mtumeee! Aliyeweka picha yangu niliyopiga nikiwa jikoni kwa Mwl Nielsen pale Danish Centre Usa river ajiandae kushtakiwa!

Mimi Miss Nai
 
em waza hapo ndo majambazi wamemvamia af sehemu ya kujifcha ya usalama ni uvunguni c m2 anauawa kabsa hpo? somtyms too much is hamful........................................
 
Hii post naona imeleta balaa, comments hizi, duh!
 
Hapa kuna tatizo la tafsiri ya uzuri. Inaonekana wewe unatafsiri uzuri = ******. wengine tunatafsiri vingine, na mtu kama wewe hayo unayapenda kwa sababu una kazi nayo.

Samahani mkuu, soma post upya, sijaandika au kuashiria popote kuwa napenda. Mie nimeuliza tu maswali, ebo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…