Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna lolote hapo...............!
wivu wivu wivuulemavu huo nyie hamjui tuu lol!! pole yake huyo, note too much of anything is harmful...
wivu wivu wivu
Wewe mtoto kwa kupangilia maneno sikuwezagi. unajiamini na kwa hilo Ndiyo maana nakupendaaaaaah waaapiiii!! maboya tu hayooo,
angalia boys wamecomment nn hapo hiyo kitu ni fahari ya macho tuu hata kupata size ya pichu shida sasa raha iko wapi, kila kitu kikiwa medium ndo inanoga bana yaani isiwe low wala isiwe above weweee ukiipata ya namna hiyo huwezi banduka am telling u loooh!
Unaweza kuelezeaje uzuri wa huyu mwanamke? Kwani naamini uzuri ni sehemu ya mapenzi. Ukipishana naye njiani utageuka mara ngapi kumwangalia, utachukua hatua yoyote?
Wewe mtoto kwa kupangilia maneno sikuwezagi. unajiamini na kwa hilo Ndiyo maana nakupendaaaaaah waaapiiii!! maboya tu hayooo,
angalia boys wamecomment nn hapo hiyo kitu ni fahari ya macho tuu hata kupata size ya pichu shida sasa raha iko wapi, kila kitu kikiwa medium ndo inanoga bana yaani isiwe low wala isiwe above weweee ukiipata ya namna hiyo huwezi banduka am telling u loooh!
Hapa kuna tatizo la tafsiri ya uzuri. Inaonekana wewe unatafsiri uzuri = ******. wengine tunatafsiri vingine, na mtu kama wewe hayo unayapenda kwa sababu una kazi nayo.