Huyu mwanamke wa Yanga Princess Cuta Ninika ni bora sana

Huyu mwanamke wa Yanga Princess Cuta Ninika ni bora sana

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Huyu demu nimepata kushudia video zake fulani akiwa kwenye timu ya costa de sol.

Angekuwa mwanaume Yanga wangelipata mchezaji mzuri saana, ila kwasababu ni demu basi Yanga Princess wamepata mchezaji mzuri ambaye yuko very talented saana.

Ana skills nyingi saana mguuni mwake anajua ku dribbler, kupassing, ana speed, na shoot
Ana haki ya kujiita Neymar wakike.

Kama Kocha wa Yanga Princess atakuwa ana panga hivi basi hii timu itakuwa tishio Afrika.

~ Namba 9 Wogu
~ Namba 11 huyu Cuta
~ Namba 7 yule demu kutoka Burundi
~ namba 10 Precious
~ Namba 8 Atinuke
~ Namba 6 Maynaco

Hii timu wanaweza kuchukuwa mpaka Kombe la Africa, hawa wachezaji wako very talented saana, kwa jinsi nilivyo washudia mimi.
 
Video za Yikpe kabla hajasajiliwa zilikuwa hatari
 
Wapinzani wakisoma habari za aina hii, huingiwa na woga wa ajabu kweli kweli.
 
Back
Top Bottom