Mhhhh! Hapa labda kuna moja ya haya au pia yote yapo ndani ya ndoa hii:

1. Mume kalishwa lile linaloitwa "limbwata", hivyo hasikii wala haoni kwa mkewe huyu hata tende kosa kubwa kiasi gani

2. Mke shughuli zake si za kawaida na mke anajua hilo, hivyo mume kila anapofikiria kumuadhibu kwa namna moja au nyingine kitu ambacho kinatishia ndoa yao, basi mume hushindwa kuchukua hatua yoyote ile.

3. Mume huyu ni wale wanaitwa B**** mtozeni, huwa hakaripii wala kuchukua hatua yoyote ile dhidi ya mkewe hata afanye kosa kiasi gani.

Kufanya kosa mara ya kwanza si kosa lakini kulirudia kosa lile lile tena mara tatu! Mhhhhhh! Mke huyu ana bahati ya mtende kwa kujipatia mume mpole kiasi hiki, waume wengine wengi wangekuwa wameshampotezea na ndoa yako kubaki history.