Huyu mwandishi wa habari amedhihirisha wazi mapenzi yake ,yani kachanganya mapenzi na kazi

Tofautisha:
Ya kwanza ni International match
Ya pili ni Local match

Kwani kuna ubaya kushabikia International match?
 
Mwandishi wa gazeti la Uhuru anaitwa Ndege
 
Tofautisha:
Ya kwanza ni International match
Ya pili ni Local match

Kwani kuna ubaya kushabikia International match?
Mkuu namjua huyu jamaa kindaki ndaki ni shabiki wa Yanga vibaya mno. Halafu pia ni mpiga picha wa Manji sasa unganisha dots hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…