Huyu mwarabu ana tatizo gani?

Huyu mwarabu ana tatizo gani?

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,239
Wana wa JF tumsaidie wapi akapate tiba. Tupo ofisini, kati ya wafanyakazi wote mwarabu yupo moja. Tatizo alilonalo ni hili. Kuna gari inasomba waste product kwa karo njee. Sisi wote tunalalamika harufu mbaya, yeye yupo kawaidaa tuu. Je anatatizo gani na tiba yake ni nini?
 
Wewe umefikiria nini? kwanini tumjadili huyo mwarabu na sio wewe? Waarabu wanasema "mwenye kuwachunguza watu hufa kwa kiroro(hamu)."
 
Wana wa JF tumsaidie wapi akapate tiba. Tupo ofisini, kati ya wafanyakazi wote mwarabu yupo moja. Tatizo alilonalo ni hili. Kuna gari inasomba waste product kwa karo njee. Sisi wote tunalalamika harufu mbaya, yeye yupo kawaidaa tuu. Je anatatizo gani na tiba yake ni nini?

Pua hazifanyi kazi yake
 
Back
Top Bottom