M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Mar 27, 2022 #1 Nashindwa kuelewa kama ana akili timamu au labda ni shule haimo kichwani. π
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Mar 27, 2022 #2 The son of Afrika said: Nashindwa kuelewa kama ana akili timamu au labda ni shule haimo kichwani. π View attachment 2165896 Click to expand... Kiwavi anaposhambulia huangalia kushibusha tumbo tu na SII kumsaidia mwenye shambaπ€
The son of Afrika said: Nashindwa kuelewa kama ana akili timamu au labda ni shule haimo kichwani. π View attachment 2165896 Click to expand... Kiwavi anaposhambulia huangalia kushibusha tumbo tu na SII kumsaidia mwenye shambaπ€
Lord OSAGYEFO JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 3,085 Reaction score 4,890 Mar 27, 2022 #3 The son of Afrika said: Nashindwa kuelewa kama ana akili timamu au labda ni shule haimo kichwani. [emoji116] View attachment 2165896 Click to expand... Amenyonywa UBONGO wote na CCM amebaki na FUVU TU Eti watanzania watarajie Maendeleo kwa Viongozi kama huyo
The son of Afrika said: Nashindwa kuelewa kama ana akili timamu au labda ni shule haimo kichwani. [emoji116] View attachment 2165896 Click to expand... Amenyonywa UBONGO wote na CCM amebaki na FUVU TU Eti watanzania watarajie Maendeleo kwa Viongozi kama huyo
0ozg Tz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 4,155 Reaction score 11,168 Mar 27, 2022 #4 Anayoyasema n sahihi,hii katiba inamapungufu ndo maana dada baada ya kuombwa sana afute kesi ndo mbowe akafutiwa Ila tungekuwa na katiba mpya tunayodai,Mbowe asingetoka kwa kumuombea kwa rais
Anayoyasema n sahihi,hii katiba inamapungufu ndo maana dada baada ya kuombwa sana afute kesi ndo mbowe akafutiwa Ila tungekuwa na katiba mpya tunayodai,Mbowe asingetoka kwa kumuombea kwa rais
T Tafakari yetu JF-Expert Member Joined Apr 19, 2021 Posts 1,505 Reaction score 4,427 Mar 27, 2022 #5 Licha ya wapinzani kulialia kutaka kubadilishwa katiba lakini msomi wa sheria Lissu anatambua bila katiba ya 1977 asingekuwa na uwanja wa kuropoka. Ni ukweli usiopingika ni katiba ya 1977 ndio imetoa nafasi ya mshtakiwa wa ugaidi kusikilizwa. Mbowe angekuwa Marekani sasa angekuwa mahali salama.
Licha ya wapinzani kulialia kutaka kubadilishwa katiba lakini msomi wa sheria Lissu anatambua bila katiba ya 1977 asingekuwa na uwanja wa kuropoka. Ni ukweli usiopingika ni katiba ya 1977 ndio imetoa nafasi ya mshtakiwa wa ugaidi kusikilizwa. Mbowe angekuwa Marekani sasa angekuwa mahali salama.