Huyu mwenzenu alikimbiwa na mke kisa ni kumlisha kauzu na dona kila siku

Huyu mwenzenu alikimbiwa na mke kisa ni kumlisha kauzu na dona kila siku

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1659761288418.png
 
Alikubali kuolewa nae wa nn,kwani hakujua kuwa mchumba wake maskin atakuwa mume wake maskini?
 
Hahahaha...1964 watu wanashikwa ugoni na wakimbia waume zao mpk faini ,ingekua kipindi hiki hizo kesi zinapelekwa mahakamani huko vizimbani kungekua tafrani
 
Huyo mke pengine angepewa fedha ya matumizi ya mwezi Kama laki nne hivi, angemlisha mme wake hilo dona na kauzu ili abakiwe na fedha ya vikoba na vikundi, lakini mme kubana matumizi kaona anamtesa
Laki nne mwaka 1964? Au hujasoma habari hiyo?
 
Hii kesi iliibua hisia sana , watu kila siku tulifuatilia redioni 😁😁 Redio Tanzania Dar es Salaam ! Nakumbuka Bwana Manyengo faini ilimshinda kiwanja chake pale maeneo ya Biafra kikauzwa !! Heko wahenga😃😃
Natamani leo ingekua Happy Fools Day
 
Shukran na ubarikiwe. Kiwanja Biafra sasa hivi kingekua 1B.
 
Back
Top Bottom