*Kuna mwizi mmoja kidogo aniue na cheko*
Mwizi mmoja alikwenda kuiba mbuzi usiku wa manane. Aliporudi akaacha amefunga yule mbuzi mlangoni kwake akaelekea kulala. Asubuhi wale wenye mbuzi wakafika pale. Wakaanza kubisha hodi kwa nguvu
*Mwizi:* Nani?
*Wale:* Tunaitaji mbuzi wetu
*Mwizi:* Kwani mbuzi hayupo hapo nje?
*Wale:* Yupo
*Mwizi:* Sasa si mumchukue, mna niamsha kwanini? Kwani mimi nilipoiba huyo mbuzi niliwaamsha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using
Jamii Forums mobile app