Pole sana ndugu
kyagata , mitihani kama hiii inatukuta wengi sana ktk maisha ya ndoa,mie juzi tu nmegundua kipind niligombana na wife kumbe kalitokea Baharia mmoja alikuwa akimfariji na kumpa moyo sana,na ilikuwa nusura ampe tunda maaana jamaa alionyesha kumjali kias cha kutaka kumtoa outs apoteze mawazo(hapa nakiri kosa lililuwa langu maaana nilishndwa kumuelewa na kumlazmsha kafanya kosa ambalo baadae niliona hajakosea ila alitaka kukosea)..
Turud kwenye ushauri, Mwanamke alisema mpe mda ujue yuko DILLEMA,yaan akikuachia mtoto atateseka na akiondoka na mtoto huko anapokwenda atateswa na baba wa kambo...anakuwa frustrated kati ya feelings na future ya maisha..(Yaan feelings zake kwako zimepungua sana-inabd ufanye kaz kubwa kuthibtsha unampenda sana, na future na wewe haiamini anahis utaoa mwengine yeye utamwacha dillema tu..)..
Cha kufanya:
1.)Onyesha ukaribu uliopitiliza ili huyo anaemfariji asikuzd(maaana n wazi kuwa lazima yuko MTU anamfariji mkeo,kwa nia mbaya-ale tunda au nzuri-amweke normal., maaana kila mwanamke ana mshakaji ambae anamwambia kila kitu au anamkubali ila hampi tunda,sasa ukipotezea ndio mda wa kumpa tunda huu)....
2.)Kumbuka vitu anavyovipenda wkt wa uchumba,mpe hvyo au mnunulie,kama financially hauko poa. Ukiwa free mpe mda wako....na ukiwa nawe hakikisha cm ,umewablock au kuwapiga chini vimada wote ila zaid ONDOA PASWORD KWNY SIMU AKO....atajua umebadilika. Na unaweza jitegesha kama KUPIGA PICHA NA MWANAO akitumia simu yako,na kama ana smart phone....haikisha unampost hata aone yeye tu...(Only share with-status private setting) haaahah...
3.Tafuta hela,ufanye AHAD YA SIKU NYINGI.....ili urudshe imani nae,ila KAMWE USIONYESHE KIBURI CHA KUWA HUNA HAJA NAE....wanawake viumbe wa ajabu sana,anaweza Fanya kwa hasira akachepuka kulipa kisasi alaf akajutia kipind mko nae,ukaanza kuuguza mgonjwa...maaana kama tunavyojua mwanamke kiumbe anaetumia hisia hata akichepuka HAWEZI KUFANYA ANAVYOTAKA BALI HUFANYWA ANAVYOTAKE MKULUNGWA MCHEPU..
______Nawasilisha_____