Huyu mzazi mwenzangu nimuache aende zake au niendeleee kumbembeleza arudi nyumbani?

Ongea na mama yake...atakusaidia.wahehe wanasikiliza wazazi wao
 
Get busy tafuta hela atakutafuta mwenyewe. Tena ongeza spidi ya kula michepuko jombaa na ndo muda wa kulala bar huu,life is too short kuruhusu stress za burebure. Tena na vile anakaa jirani utakuta tu kasharudi mwenyewe maana ukiruhusu ukinga tu hapa atakusumbua balaa na itakua kawaida kwake kwenda kupanga mkitibuana kidogo.
 
Point hii nilisha wahi ifanyia kazi na kweli tuliachana akaenda kwa boya wake huko mbali, ila cha ajabu ni miaka imepita lkn tunda nikitaka nakula japo bado anaishi na huyo boi wake
 
ni kosa kusema.... ni tamaa zetu wanaume .....ni tamaa zako kahaba wewe... kwa kifupi keshakutema... alikuwa anakutafutia sababu.....kahamia near by ili uweze kumsalimia mwanenu.......ila amini usiamini.....kuna kidume zaidi yako.......vizia upashe kiporo........endelea kucheat......
 
Ngoja kwanza huko alikoenda kupanga hela ulimpa wewe au? Na Kama hukumpa Nani kampa na Nani kampa jeuri hiyo ya kupanga? Anaishi na Nani huko kupanga?
Kwani kila mwanamke anategemea kupewa hela ndo afanye anachotaka?
Nyie ndo sample ya wanaume hamtaki wanawake wenu wawe na chochote ili muwacontrol vizur.
 
Kwahiyo alikua anahamisha vitu tena,mara ya kwanza kauza kasepa
 
Kwani kila mwanamke anategemea kupewa hela ndo afanye anachotaka?
Nyie ndo sample ya wanaume hamtaki wanawake wenu wawe na chochote ili muwacontrol vizur.
. Bahati mbaya katika maisha yangu sijawahi mbana mwanamke coz naelewa umuhimu wake ila kutokana na maelezo ya mwenzetu ukakasi upo ndo Mana namhoji? Akijibu ndo utapata uelewa usiniangushie lawama bure
 
Amekuona mbabaishaji maana posa hupeleki afu bado unacheat,kumbuka hyo ashazaa ko anahofia kuikosa ndoa akawa single maza ameona asiendelee kupoteza mda kikubwa badilika afu peleka mahari acha ubabaishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…