Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Huyu mzazi anaharibia watoto wake uzao alianza binti mdogo akapata bwana wakawaida tu huyu mama akamfukuza basi akaletewa tajiri tena wamadini akamfukuza akisema amekuja kumtoa sadaka na familia yake.
Saivi msichana akamuua kujenga nakuzaa na mtu wake wa mwanzo wakawaida hakuenda kwenye harusi alimpigia simu akamlaani akasema hutopata uzao mwingine ni huyo tu.
Jingine anakuwa hataki watoto wake waoe nakuolewa .
Maisha ni yakusadikika hivi nyie wazazi huwa mnatakaje??