Huyu mzee anamaliza kwa vitimbi sana maisha yake akiwa ikulu!

Safi sana... huyu aligoma kwenda kumzika malkia akaenda ktk mkutano wa UN...

Mnangagwa yeye akaendelea na shughuli zake

Rais wa Ethiopia (mwanamama) aligoma kupanda basi hivyo hakwenda kumzika na kurejea kwao Ethiopia

Kila nchi na namna yake ya kushughulika na maswala yao

Ni kama wewe unavyo deal na familia yako, ni tofauti na kaka yako Au dada yako ata wazazi wako na majirani zako wanavyo deal na maswala ya familia zao
 
Vipi mama yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…