ager de don
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 621
- 320
Vip kesho ikiingia watanzania mutamtaka radhi mzee wa watuHahahahaahha ahh leo dokta leo kanichekesha... hapo katumwa kuharibu mnada... maana tangazo pale mwanzo kalisikia na bado babu kakomaa.. nasikia wameenda nae mpk bank ndo akasema hela itaingia kesho... naona saa hizi ananyea kidebe pale salenda....
Really????Mzee Dr Louis hela anayo na atalipa wote mtashangaa....ni mtaalamu WA masuala ya Chemicals don't write him off.....huyu alikuwa anakwenda pale chuo Moscow peku peku
View attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
View attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
View attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
Haaaaaaaaaaaaaa kuna madada wakawa wanamzunguka wanampepea kwa kujua leo kimeeleweka sijui wana hali gan ssa hiv!Kwa taarfa zilizopo chini ya kapeti,tajiri yule anasemakana Ana undgu wa karbu na msanii hamorapa.
Yule mama wa yono na wafanyakazi wake walikua wanajua Leo ten percent yao ya bil 1.9 inaingia
Nadhani ya moyoni waliokua nayo juu ya siku ya Leo wanajua wao.
10/100 * 1.9 bl= 190 ml less 18 perc tax..
Hamorapa!!!Kwa taarfa zilizopo chini ya kapeti,tajiri yule anasemakana Ana undgu wa karbu na msanii hamorapa.
Yule mama wa yono na wafanyakazi wake walikua wanajua Leo ten percent yao ya bil 1.9 inaingia
Nadhani ya moyoni waliokua nayo juu ya siku ya Leo wanajua wao.
10/100 * 1.9 bl= 190 ml less 18 perc tax..