Huyu mzee ananifanya nionekane chizi

Huyu mzee ananifanya nionekane chizi

Hata Mimi nikimuangalia huyu Mzee nacheka sana Kwa kutuingiza mkenge kiasi hiki na watu hawajashutuka mpaka kachukua nyumbani zote tatu.
 
Hahahahaahha ahh leo dokta leo kanichekesha... hapo katumwa kuharibu mnada... maana tangazo pale mwanzo kalisikia na bado babu kakomaa.. nasikia wameenda nae mpk bank ndo akasema hela itaingia kesho... naona saa hizi ananyea kidebe pale salenda....
Vip kesho ikiingia watanzania mutamtaka radhi mzee wa watu
 
View attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
IMG_20171110_211704.jpg
 
Mnunuzi wa nyumba za Lugumi zilizopigwa mnada na Kampuni ya Yono Auction Mart kufidia deni la TRA, Dr.Luis Shika amekanusha vikali madai ya polisi kwamba alikusudia kufanya utapeli kwenye mnada wa uuzwaji wa nyumba hizo.

Dr.Shika ameshangaa polisi kumlisha maneno kwamba alitamka milioni 700, 800 na 900, wakati ukweli alitamka 900 lakini sio milioni. "Ni kweli nilipanga kununua nyumba zote tatu, na kwenye mnada nilitamka fedha 700, 800 na mwisho 900. Hakuna popote niliposema milioni 800 au milioni 900" Amesema Dr.Luis Shika aliyejipatia umaarufu siku za karibuni kutokana na sakati hilo.

View attachment 627513 huyu mzee ananifanya watu wanione labda naugua kichaa ndo sababu nacheka muda wote..
 
Kwa taarfa zilizopo chini ya kapeti,tajiri yule anasemakana Ana undgu wa karbu na msanii hamorapa.

Yule mama wa yono na wafanyakazi wake walikua wanajua Leo ten percent yao ya bil 1.9 inaingia

Nadhani ya moyoni waliokua nayo juu ya siku ya Leo wanajua wao.
10/100 * 1.9 bl= 190 ml less 18 perc tax..
Haaaaaaaaaaaaaa kuna madada wakawa wanamzunguka wanampepea kwa kujua leo kimeeleweka sijui wana hali gan ssa hiv!
 
Unapohamia pahala unahitaji pahala pakukaa. Dr louis voice
 
Kwa taarfa zilizopo chini ya kapeti,tajiri yule anasemakana Ana undgu wa karbu na msanii hamorapa.

Yule mama wa yono na wafanyakazi wake walikua wanajua Leo ten percent yao ya bil 1.9 inaingia

Nadhani ya moyoni waliokua nayo juu ya siku ya Leo wanajua wao.
10/100 * 1.9 bl= 190 ml less 18 perc tax..
Hamorapa!!!
 
Back
Top Bottom