Hahaha[emoji51] [emoji51] Sasa wangejuaje man ikiwa MTU mwenyewe full maconfidence ?!!watz ni wasechu sana yan walivokua wanampepea dah walishndwa hata kujiongeza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Like nobody businessAcha basi[emoji23][emoji23]alivyo serious sasa aise
Nimechekamm waliponiua ni hao wanaompepea dah nahisi walishaanza kumuomba na namba ya sim...maana wadada walijiongeza sana mzee hadi anafutwa jash[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahahahaaa!Kumbe Dr. shika amekaa Urusi 30yrs, na aliomba laptop afanye internet banking pesa yake ipo Eco bank Kenya. Alifanya na akawaambia hiyo pesa itaingia within 48hrs. Dr. Yupo vzr, tatizo watanzania wanaangalia mavazi.
kaiba jina huyu amna kaziii