mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kauzuuu.Kwa kweli hata mimi nimecheka sana
Kwa mwenye Bunddle ya kutosha anaweza kumwangalia hapa alivyo serious kwenye manunuzi, atakuwa sio mzima huyu jamaa
Ebna sure boy nn?Namfahamu huyu kazingua sana
Haaaaahaaaa mbavu zanguItachukua miaka 100 bongo movie kumfikia huyu mzee
Mi ninahisi pesa ilikuwepo kweli... Kwa maana ya kwamba mzee anatumiwa na watu ambao hawakutaka kujionyesha wenyewe moja kwa moja sasa inawezekana dakika za mwisho wakamwacha solemba.Ana pesa huyu. We cheka tu
Hii inawezekana. Au pesa zinatumwa kutoka nje transactions zimechelewa tuMi ninahisi pesa ilikuwepo kweli... Kwa maana ya kwamba mzee anatumiwa na watu ambao hawakutaka kujionyesha wenyewe moja kwa moja sasa inawezekana dakika za mwisho wakamwacha solemba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itachukua miaka 100 bongo movie kumfikia huyu mzee
Yule mzee amewambia wamuweke popote pale mpaka pesa itakapofika kutoka Urusi nadhani kama sijakosea.Hii inawezekana. Au pesa zinatumwa kutoka nje transactions zimechelewa tu